Hali ilivyo Viwanja vya Sabasaba

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,975
4,264
Wanajamii,
Kwa wale wanaolekea na wenye mpango wa kwenda kwenye viwanja vya maonesho ya biashara sabasaba.
Hali ilivyo hapa kwa sasa;
1. Watu ni wengi ndani na nje, foleni za kukata tiketi ni ndefu na huko ndani watu ni wengi mno.
2. Parking zote zimejaa, kama unakuja na gari basi mahali pa kuliweka ni changamoto. Eneo la nje la TIA limejaa, eneo la jeshi nalo limejaa, parking ya sabasaba nayo pia imejaa.

Note: Kwa mnaokwenda na watoto kuweni makini msije kuwapoteza humo viwanjani.

Ni hilo tu.
 
Back
Top Bottom