Uchokozi: Rais ameanza kusafiri,akumbuke kubana matumizi

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Imekuwa kawaida sasa Rais kuwakilishwa kwenye mikutano ya kimataifa na Makamu wake au Waziri Mkuu. Uwepo wa Makamu wa Rais au Waziri Mkuu ni uwepo wa Rais. Kusafiri kwao ni kusafiri kwa Rais.

Hatimaye,Rais ameanza kusafiri. Akumbuke tu kupunguza safari na kubana matumizi ili kuendana na falsafa yake ya HAPA KAZI TU. Itakuwa imejidhihiri kuwa safari za nje ni muhimu. Naye binafsi,kama Rais Magufuli,aende Ulaya,Asia na America. Hongera Rais!

Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam
 
ameanza safari wakati wengine ametuzuia. mi naona wote tubakie hapahapa nchini. asisafiri yeye wala kuwakilishwa.
 
Hivi "Too Local" inamaanisha nini? huwa naisoma tu ila sina maana mbaya
 
Back
Top Bottom