Wakuu habari za humu!
Naombeni msaada kama kuna mtu anayejua sehemu ambayo naweza kupata vitoto vya nguruwe wa kisasa/vifaranga kwa Arusha.
Nina mpango wa kuanza na idadi ya 25 halafu baada ya miezi miwili nitachukua tena 20. Bajeti yangu kwa kitoto kimoja ni elfu 50.
Nimeenda pale LITI...
haina maana kukatisha watu tamaa,wewe una biashara unayoifanya ,mwenzio hawezi fanya biashara hiyohiyo watanzania wote tukafanya the same b'ness. kwa watu waliosoma b'ness analysis they understand what i mean. biashara hii ina faida maana unaweza ifanya bila uwepo wako,haikuhitaji follow up ya...
OK. IKO HIVII, MIMI NI MTUMISHI WA SERIKALI NIPO TOWN, NILICHUKUA SALARI LOAN NIKANUNUA DUME 4 WA LAKI 4 KILA 1, NA DUME 4 WA LAKI 3 KILA MOJA, NA DUME 4 WA LAKI 2 KILA MOJA. JUMLA WAKAWA DUME 12 NA GHARAMA YA MANUNUZI IKIWA 3.6M NINAWAFUGIA KIJIJINI KWETU BABATI VIJIJINI, WOTE NILIWAPA DAWA YA...
OK. IKO HIVII, MIMI NI MTUMISHI WA SERIKALI NIPO TOWN, NILICHUKUA SALARI LOAN NIKANUNUA DUME 4 WA LAKI 4 KILA 1, NA DUME 4 WA LAKI 3 KILA MOJA, NA DUME 4 WA LAKI 2 KILA MOJA. JUMLA WAKAWA DUME 12 NA GHARAMA YA MANUNUZI IKIWA 3.6M NINAWAFUGIA KIJIJINI KWETU BABATI VIJIJINI, WOTE NILIWAPA DAWA...
Mkuu hii ni biashara nzuri sana, ila uwe na ka mtaji ka kueleweka. mie naifanya mwaka wa pili sasa,nina maintain dume 20 kila mda, ina maana kila baada ya miezi 3 nauza dume 5 wakubwa then nanunua wadogo. HUWA NANUNUA KWA LAKI 3 HADI 4, THEN NAFUGA KWA MWAKA NA HUWA NAUZA LAKI 5 HADI 8 KWA KILA...
Ahsante, gari yangu ni kili time, ngoja nimtafute fundi mzuri tuifanyie service ya maana labda itaweza cutulia. Pia naomba kufahamu, hamnaga namna ya kufanya kupunguza consuption ya gari hata ikiwa na CC kubwa?
Duh, safi sana ,nashukuru sana mkuu. natumiaga tu gari bbila kuwa na utaalamu wowote, ngoja nitaulizia wanakofanya na abaut cost kama nta mudu,ila nashukuru,umenipa pa kuanzia
ahsante mkuu kwa maelekezo mazuri, hebu naomba pia nifafanulie kdogo kuhusu hili la kwenda kupima engine kwenye computer kujua matatizo yote ili ikibidi nifanye ili kuweka injini iliyopo iwe kwenye hali nzuri niendelee kuitumia pasipo kuingia gharama kubwa ya mafuta kila siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.