MWENYEWE NINGEFAHAMU KABLA KUWA WANAWAKE WASOMI NI WASUMBUFU NINGEOA DARASA LA 7 TUISHI VIZURI. MAANA HAWA WASOMI UJUAJI MWINGI MNO.Wanawake wasomi MNA shida sana kwenye Ndoa. Ndio maana nilichaguliwa mtaani Demu wa kawaida tu, nsmuachia ATM anachukua salary naikuta home fresh, anatekeleza km tulivyokubaliana. Watoto wanaenda SHULE, tunafuga kwa saàna.
Ila nina mchepuko msomi, una hela lkn chenga nyingi.
Sasa kwa nini bado una mchepuko...kumbe asiye msomi bado sio sahihiWanawake wasomi MNA shida sana kwenye Ndoa. Ndio maana nilichaguliwa mtaani Demu wa kawaida tu, nsmuachia ATM anachukua salary naikuta home fresh, anatekeleza km tulivyokubaliana. Watoto wanaenda SHULE, tunafuga kwa saàna.
Ila nina mchepuko msomi, una hela lkn chenga nyingi.
Issue sio ubinafsi mkuu ninacholalamikia ni mtu kuchukua mshahara wa mwenzake wote na Bado ninapoenda kazini Hanipi hela ya matumizi!