Msaada: Injini ya gari aina ya Rav4 inanisumbua

True Lover

Member
Aug 8, 2016
32
46
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
 
Pole sana mkuu,nafikir hiyo engine ni zile za D-4..... ni engine nzuri sana,though consuption yake ni kubwa ukilinganisha na ya IST. Hii engine inahitaj discpline kubwa sana kweny swala la mafuta.Watt wengi wamekua wakiiponda ii Engine kwasababu hawaielewi vizur.
 
acheni kutumia mikangafu, nyie ndo mnatuchafulia hewa kwa kujaza ma hewa machafu angani
uza mkweche huo
hongera lakini maana miye hata toyo sina
 
Check engine Mount zote kama ni nzima,zitakuwa zimesinyaa that's why inatikisika,ulaji wa mafuta ni ufuatiliaji tu was service, na pia check usafi was air cleaner kila wiki mara moja piga upepo
 
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
hapa sijakuelewa mkuu,engine ya 1290. unamaanisha unataka kubadilisha hii engine ya rav4 kwa hii aa 1290...au ununue gar yenye engine ya 1290?
 
Back
Top Bottom