Recent content by True Galatian

  1. True Galatian

    Wanaume hata tupewe tunda tamu vipi bado tutahitaji mechi za ugenini. Je ni nature?

    Hahahaaaa majibu yako ya Leo yananifurahisha sana Espy, hapa kila nikisoma nacheka........Ni nature.....
  2. True Galatian

    Kwanini nina shauku ya kuacha kazi ya serikali? Hii roho inanifuatilia sana

    Kama una wadogo zako wasio kua na ajira, ndugu zako wenye vibihashara vidogo vidogo basi jua kabisa wewe sio mbunifu na ukiacha kazi utakufa masikini. Nasema hivi kwa kua kama ungekua na mawazo na mipangilio chanya basi tulitegemea uanze kui implement kwa ndugu zako ili kupitia mitaji yao hiyo...
  3. True Galatian

    Serikali ya Kenya yaomba kuajiri madaktari Tanzania

    Hivi wewe watu wanao work under stressed environment unawajua au unawasikia? Lack of exposure. POVU
  4. True Galatian

    Serikali ya Kenya yaomba kuajiri madaktari Tanzania

    Kwa hiyo watumishi wote wa umma walipwe kama wabunge na mawaziri.?( POVU)
  5. True Galatian

    Mkuu wa meza na ibada zinazopingana na Mungu

    Mbona ni vitu tofauti kabisa aisee. Mamlaka za duniani zinatambuliwa isipokua binadamu hatakiwi kuziheshimu kiasi cha kumkufuru Mungu. Sioni tatizo la sisi askari na utukufu wa Mungu.
  6. True Galatian

    Nini kirefu na maana ya neno PLC

    Public Limited Company
Back
Top Bottom