Recent content by Trophs

  1. Trophs

    Kungwa kwenye kundi lolte la walimu wa Geographa

    Wakuu habari za asubuhi? Ni matumaini yangu kua mnaendelea vema, ningependa kama kuna yeyote anaejua au aliye kwenye kundi la walimu wa geography aniunganishe huko 0759160780 Asante
  2. Trophs

    Washkaji wengine sio wana kabisa

    Kwa hiyo unataka sisi tulipe au?
  3. Trophs

    Wanawake wanashangaa sana wanaume wanao 'piga show dakika 45'

    Ila kama siyo uongo unawezaje piga show masaa mawili huku hata zoezi na dudu ka la mkopo,acheni stori zungumza ukweli.[emoji16]
  4. Trophs

    EWURA yatangaza bei mpya ya Mafuta ya Petroli

    Haya mafuta yanavoongezeka bei kuna uwezekano watu wengi tukaanza mazoezi
  5. Trophs

    Kila akitibuana na mke wake lazima akutane na mabalaa

    Arudiane na mke na atulie mazima
  6. Trophs

    Inasikitisha: Katika vita ya kitaifa ya Makanikia KUB hajaongea chochote!

    Unataka aongee nini,wakati wengine wengine wameongea
  7. Trophs

    Inasikitisha: Katika vita ya kitaifa ya Makanikia KUB hajaongea chochote!

    Sasa wewe unatama aongee nini kama mambo yashaongelewa na wengine?
  8. Trophs

    Serikali toeni majina ya vyeti vyenye utata ambavyo ni 1538 kuepusha usumbufu

    Mimi naomba kujua hiyo list inapatikana,tovuti gani,maana tz
  9. Trophs

    Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Poleni sana,trafiki unakuta wanasimamisha magari sehemu mbaya
  10. Trophs

    Wasomi na wachambuzi wa kisiasa juu ya Magufuli BBC

    Ukiwa mpiga debe hata ije serikali gani utapiga debe maana ndiyo taaluma yako.
  11. Trophs

    Wanachama 500 wa CCM na diwani mmoja Muleba wahamia CHADEMA

    Huo sasa uongo mbona niko mleba hakuna kitu kama hicho?acheni uchochezi
  12. Trophs

    Hotuba ya Kikwete kwenye sherehe za miaka 38 ya CCM imebeba ujumbe mzito

    Ccm watapeta mnawaona,na mtaishia kulalama eti mmeibiwa wakati wafuasi wenu ni masela wa vijiweni
Back
Top Bottom