Recent content by Trizo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fastjet ni kero tupu!

    Ha ha ha haaaaaaaa mbavu zang jamani!
  2. T

    JamiiForums Tanzania tufungukeni majina ya wanyakyusa...naaanza

    lyafwila
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    Jamani ila ndugu zangu wahaya wanajisikia sana, Wengi hawaampi mwanamke nafasi kuchangia hata masuala ya mipango ya familia wenyewe wanajua kila kitu. Mimi mhaya lakini siwish kuolewa nao!
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko katika mgogoro mkali sana na mpenzi wangu kutokana na message aliyonitumia

    Mi naona hapo humpendi huyo mdada ndio maana inakuchukua muda kumjibu! Ungekuwa unampenda na unaogopa kumpoteza ungemjibu fasta! Huo unaitwa wivu ambapo ni sehemu ya mapenzi ndio kauliza hivyo jamani tuwajue wenzetu then tuwapende na tabia zao!
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake/wadada wanene

    Yeah thus true! Big up fat ladies just make ur self looking good all the time!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante sana, tuwe makini gharama lazima ziwepo tena sio ndogo nimeshawahi kumfanyia mtu costing ya kufuga kuku mia mbili lakini yeye ananunua kifaranga cha mwenzi mmoja kwa sh. 3000 ambayo ni laki 3, Gharama kwa mwenzi sichini ya laki 1 na nusu,ambapo wanaishi miezi mitano ambapo ni laki 7 na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Chochote kile unachoamua kukifanya ukikifanya kwa makini lazima ufanikiwe so dedicate muda wako na akili cause sio rahisi sana kufuga kuku wengi wa kinyeji.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nilitamani sana kujua jinsi ya kupata masoko ya kuku wa kienyeji!
Back
Top Bottom