Recent content by Trilo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi wakiua ni sawa?

    hicho ni kitu ambacho mtoa mada haelewi..anafikiri labda polisi waliwakuta wale majambazi kibarazani wanapiga story..haelewi kama kulikuwa na sintofaham
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi wakiua ni sawa?

    asante mkuu, mpe shule kidogo mtoa mada kwann askari anapewa silaha, mazingira yapi atumie namna gani.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi wakiua ni sawa?

    kwanii raia hawezi akawa jambazi? au tuambie jambazi ni nani basi..tupe definition
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi wakiua ni sawa?

    una hakika walinyanyua mikono juu? ulikuwepo eneo la tukio?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi wakiua ni sawa?

    mi nafikiri lazima kutakuwa na sheria inayomruhusu askari kuua kwenye mazingira fulani..ndio maana wanaoua makusudi au bahati mbaya wanashtakiwa..wataalam wa sheria watusaidie hapa tafadhali
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    peleka kw DCI moja kwa moja
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni polisi: Leo halali nyumbani

    umenena mkuu, mentor ni shahidi wa hicho ulichosema...anajua kupenda lakin!!!!!!!????
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni polisi: Leo halali nyumbani

    mentor huwa yanakukuta kweli nini? ushasaliti wangapi waliokuamini?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutendwa, uliweza kupenda tena kwa kiwango cha juu zaidi ya kile cha awali?

    mkuu usemacho ni kweli, nimefanyiwa maigizo miezi sita hadi nikajua ndoa imekaribia!! kumbe maigizo...baadaye anakuja kuniambia kuwa haiwezekani tena kuendelea na mahusiano..nikachoka
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    mi natamani kutoka na yule kaka wa mastory...mentor!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom wanatumia hizi alama (########+#) Kutuma Ujumbe, Je inaruhusiwa?

    Hata mimi nimetumiwa.. Sasa anajificha halafu anaomba nafasi..??! Ndio nini sasa?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

    usemacho ni kweli..sera na mipango mibovu ya nchi inayopelekea mtu kufanya maamuzi ambayo hakuwahi kufikiria..askari wengi wameajiriwa sio kwakuwa wanaipenda kazi, ni matokeo ya kukosa kitu au kazi ya kufanya, matokeo yake anaenda kazini lakini akili haipo kazini..kwanini asiporwe silaha kirahisi?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

    umenena vema mkuu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Am so lonely

    hauko peke yako kwenye hiyo hali..tuko wengi, pole pole itaisha..jilazimishe kusahau.
Back
Top Bottom