Ndg zangu nimepata bahati ya kuhudhuria graduation ya chuo cha st john campus ya Dodoma cha kushangaza hata wahitimu wa certificate na diploma wote walivaa majoho kinyume na agizo la Mh waziri wa elimu ndalichako je hii ina maana kwamba uongozi wa chuo umepuuza agizo hilo? Nawasilisha wadau.
Demu wangu anaweza akaamua tu kutopokea cm zangu hata cku 3, cku akipokea ananiambia Niko bize na mama ndo maana ckupokea cm yako, ulitaka nimuache mamangu nipokee cm yako??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.