Kizaazaa ndani ya kanisa la KKKT Usariver

Kizaazaa ndani ya kanisa la KKKT Usariver

Trigonometry

Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
56
Reaction score
72
Mwanamke mmoja ameleta vurugu kanisa la KKT Usariver baada ya mume wake kufunga ndoa ya pili kanisani hapo, polisi wakamkamata na watoto wake na ndoa ikafungwa kilaini.

Chanzo: Star TV
 
Back
Top Bottom