Recent content by trigeminal

  1. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Baba wewe gari lako liko wapi
  2. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Rc Shinyanga: Tumepokea shilingi bilioni 588 kila kona barabara zinajengwa chini ya Rais Samia

    Shinyanga hiihii tunayoishi sisi ? barabara za kwenda wilayani ni mavumbi ukifika unakoenda lazims ubadilishe nguo
  3. trigeminal

    JamiiForums Tanzania KERO Kuzuia benki kununua deni la bodi ya mikopo (HESLB) ilaumiwe bodi ya mikopo au or-utumishi?

    unauza deni lisilo na riba kununua deni lenye riba
  4. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

    binadamu mna wivu sana hata kwa watu msiowajua
  5. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    fanya mambo ya msingi hakuna shule ya vipaji maalum
  6. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando

    umehamia mwanza lini ? Hospitali ya rufaa ya mkoa wa mwanza inaitwa sekou toure nenda ukatibiwe.
  7. trigeminal

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pagale linauzwa na bank, tshs.6 milioni, udindivu,Mapinga-Bagamoyo

    acha utapeli fanya kazi
  8. trigeminal

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mbili (pamoja) zinauzwa na bank, Tshs.30 milioni, Kihonda, Morogoro

    jibu maswali acha utapeli, tangu lini benki wakatumia madalali uchwara
  9. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

    hakuna mtu anakulipa 11m kwa kumuonyesha tu nyumba , labda mpemba akupake na mafuta
  10. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

    tafuta kazi, acha kutegemea nyumba za wanaume wenzio kupata comission acha ukuwadi
  11. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

    Biashara ipi ? unauza nini ? Biashara ni ya mwenye nyumba sio yako labda kama unauza jicho useme
  12. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

    matusi hayakusaidii , mwanaume acha tamaa utaolewa fanya kazi UDALALI SIO KAZI
  13. trigeminal

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

    Huna biashara yoyote hapo dalali ni tapeli tu kama matapeli wengine
Back
Top Bottom