Mtoa uzi jibu kwa nini Ajira hazitolewi na hali ya kuwa makusanyo mapato ya serikal yasemekana kupanda maeneo yote kuzidi awamu zote zilizopita???? Alafu wakati huohuo badala ya kuajiri wasomi wanamaliza vyuo weengi tu mtaani tangu 2015 ila pesa za biashara ya siasa na pesa za campaigns za...
Me nafikiri kwa anaetaka ajira afya serikalin siku hizi kipaumbele ni watu wa Nursing kwa sana maana serikali imewekeza kwenye ujenz wa hospital nyingi zaidi,upanuz wa ward na majengo mengine ,hivyo ni vyema madogo wakasoma sana Nursing kuliko MD na Pharmacy kwa atakae ajira serkalini
.ushauri...
Aisee me lazima nkampe kura yangu salumu mwalimu mwandishi aiseeeeeee...dah 2015 nilivunjwa jino kwa ajili ya msaliti Leo tena nimpe? Alaaaaahh haiwezekan
Hapo haina haja ya Ku confirm kwa Unigold,majibu sahihi ni Yale ya awali below 50 minutes, hapo unachotakiwa kaa kwanzia week mbili zingine to month urudie kupima tena kwa SD bioline Ku confirm ndani ya dk50 tena..majibu ya kifanana baasi wee huna maambukizi...ila katika kusubiri hzo week2 ama...
Kila binadamu anamapungufu hivyo chadema msimfukuzee mzee mamvu huko mtaua chama kwani chama tawala tunamuogopa sana EL akigombea 2020 atatusumbua,tunaiogopa nguvu yake huo ndo ukwel
Me nilienda mwaka 2016 January nkaishi Johannesburg Jules street kazi zangu Bree street ,maisha yalikuwa mazuri kwakweli maana mwaka 2017 September nimerudi bongo na mpunga nikafungua zangu kituo cha Afya( maabara) pia nmenunua viwanja viwili na nkafyatua tofali ,bado nitarudi tena maana maisha...
Alafu miez 7 ni mingi sana documents za kusainiwa zikae mezani miezi yoote hiyo bila kusainiwa nafikiri lazima kutakuwa na tatizo lililojificha hapa ,kwanin kamishna asizisaini Regulation hizo za sheria mpya madini ya mwaka 2017!????? Tuanzie hapo : kwani sheria mpya ya madini ya 2017...
Acha ushabiki wa chama kuwa mzalendo wa nchi yako wanaoifaidi nchi ni viongoz wakubwa wee unakalia kupiga makelele humu hata cent unufaik nayo...kuwa mzalendo kataa chama cha mafisadi
Kiukweli waTanzania wengi hatuikubali hatuipendi na tunaichukia ccm sana..hata wabunge wote wa upinzan wakihama wanafata maslahi ya tumbo lao tu huko ccm.Bali sisi wananchi tutaendelea kuwa wapinzan wakweli wa uovu wa ccm,hivyo basi upinzani hauwezi kufa.wananchi wazalendo tupo imara haiwezekan...
Chadema ni ya wananchi,hata wakihama wabunge wote bado wananchi tutakuwa mbele kuleta mabadilko yakweli kwa kutochagua viongozi hao wasiowajibika tukianza na wasaliti wasionadira wala misimamamo....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.