Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kimandolu uliofanyi ka tarehe 13/01/2018

Wadau naomba niwaletee Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kimandolu uliofanyika leo tarehe 13/01/2018.
*Waliojiandikisha ni 16,091,
*Kura zilizopigwa ni 10,297,
*Kura zilizoharibika 10,
kura halali 10,287.
Matokeo
1.CCM kura 8, 981 - 87%,
2.CUF kura 1,251 - 12.16%,
3.Makini kura 28
4.NRA kura 22,
5.SAU kura 5.

*Kwa matokeo hayo Mgombea wa CCM ndg Gaudence Lyimo ndo mshindi*
Umetoka kuleta mada ya kisabato
 
tapatalk_1506691448576.jpeg

 
Wadau naomba niwaletee Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kimandolu uliofanyika leo tarehe 13/01/2018.
*Waliojiandikisha ni 16,091,
*Kura zilizopigwa ni 10,297,
*Kura zilizoharibika 10,
kura halali 10,287.
Matokeo
1.CCM kura 8, 981 - 87%,
2.CUF kura 1,251 - 12.16%,
3.Makini kura 28
4.NRA kura 22,
5.SAU kura 5.

*Kwa matokeo hayo Mgombea wa CCM ndg Gaudence Lyimo ndo mshindi*


Habari zako
 
Aisee... hii ni aibu, yaani wanaongeza idadi ya kura ili ionekane watu wengi walijitnkeza!? masisiemu bana!
 
chadema ni wakala wa shetani hapa duniani,huwezi kuwa unatetea maslahi ya wachaga tu hata kama ni wezi na majambazi
 
Naona wamejitokeza wengi kwi kwi kwi kwi maccm yakiongozwa na Magufuli yanafanya mambo ya kihuni na aibu kabisa. Dikteta utakuja kulipia hizi dhambi ujue!
 
David Maphone wa CUF alikuwa anasema Arusha Sasa ni CUF naona wameambulia kura kiduchu.Ina maana Lipumba ushawishi wake ni sifuri
 
Wadau naomba niwaletee Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani uliofanyika leo tarehe 13/01/2018.
A. Kata ya Kimandolu
*Waliojiandikisha - 16,091,
*Kura zilizopigwa -10,297,
*Kura zilizoharibika - 10,
kura halali - 10,287.
Matokeo
1.CCM kura 8, 981 - 87%,
2.CUF kura 1,251 - 12.16%,
3.Makini kura - 28
4.NRA kura - 22,
5.SAU kura - 5.
*Mshindi*
Ndg Gaudence Lyimo wa CCM
B.Kata ya Kurui (Wilaya Kisarawe )
1.CCM kura - 634
2.CUF kura - 182
*Mshindi*
Ndg Mussa Kunikuni wa CCM
Hao wapiga kura 10,800 kati ya 16-000 kimandolu wametoka wapi ,NEC washaaamua...kutumika kama SHITHOLE ? Eti asilimia.70% wamejitokeza kupiga kura ......wakati hata 2,000 hawajafika kupiga kura ....TUNAJIDANGANYA SANA
 
data za kupika gambo na tume ya uvurugaji
Hiii aibu ..hiyo turnout hata 2015 hawakufika idadi hiyo 10,800 ETI 87% wameipa ccm .....inatoa wapi idadi hiyo ya wafuasi ....wangeweka tu waliopiga kura ni 2000 na asilimia 90 % wamechagua ccm
Huu ujinga huuu watu 10,800 wakienda kupiga kura huo umati kwa kata moja...kila mtu ataonaaaa
No wounder Gambo...anaingiwa na....kihoro na.kupiga picha masokoni.anasema eti...wanapiga kura
Shithole indeed
 
Back
Top Bottom