Recent content by Trentalexanderanold

  1. Trentalexanderanold

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibuni tujifunze: Question tags

    Nini maana ya question tags kwa kiswahili?na nini matumiz yake
  2. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

    utadisco mchana kweupe labda kama unasoma TIA au TEKU
  3. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Industrial engineer natafuta kazi

    Ila hapo kwenye SEAP naomba unifafanulie plz
  4. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Industrial engineer natafuta kazi

    Shukrani mkuu kwa ushauri
  5. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Industrial engineer natafuta kazi

    Kilimo kinahitaji mtaji mkuu
  6. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Industrial engineer natafuta kazi

    Mkuu sina experience zaidi ya field nlizofanya chuo.
  7. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Industrial engineer natafuta kazi

    Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na nmehitimu mwaka Jana chuo kikuu cha Dar es salaam Katika kozi ya industrial engineering. Lengo la thread hii kuomba yeyote mwenye connection ya kazi aweze kunisaidia angalau niweze kumudu maisha. Kwa sasa Niko Arusha. Kwenye viwanda naweza...
  8. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania TBC, Wakati ni sasa chukueni dhima yenu

    Na wale wa vyuo vyaa kati na vyuo vikuu??
  9. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Zitto Kabwe: Ripoti za CAG wakati wa utawala wa Rais Magufuli

    Uchambuzi Murua kabisa bg up Mwami
  10. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    Platinum almas amefanya kosa gani mpk akamatwe?
  11. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabilionea/Matajiri wa Tanzania wapo kimya?

    Vp kuhusu samatta mbn na yeye yuko kmya?
  12. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa fursa za kazi mkoani Tanga

    mkuu Tanga hakujawai kuwa na mishe we baki tu huko ulipo
  13. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Finance Officer Danish Refugee Council (DRC)

    Vacancy no longer exist
  14. Trentalexanderanold

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Mhhh ni wewe mkuu unaetoa hii hoja au naota?
Back
Top Bottom