Recent content by Trendz

 1. Trendz

  Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

  Bado wadogo kwa karne hii peleka shamba hao wakajifunze hata majina ya mazao na kushangaashangaaa Ila mimi nikiwa na miaka hiyo tulikuwa tunashindana kugonga kokoto Halafu tunauza kwa ndoo ndogo Mawe tulikuwa tunapata tu karibu na ilikuwa kama mchezo tunashindana
 2. Trendz

  Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

  Ndio group hilo limejaaa Ingia group lingine hii hapa link: https://chat.whatsapp.com/CF7mvF0zeEhDtoaiJnWcht
 3. Trendz

  Naomba kufahamishwa gharama ya Floor slab

  Ni Tatizo hilo Hujui mtu anayedesign na kupiga hesabu ni watu wawili tofauti na wanakwenda shule kwa ajili hiyo ?? Swali lililenga vilivyofanyika tayari practically sio theoretically [emoji1666]
 4. Trendz

  Naomba kufahamishwa gharama ya Floor slab

  Shukran sana aisee maelezo yanajieleza yenyewe kabisa [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 5. Trendz

  Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

  Hiyo ilikuwa kununua TSH 1.3 mil, usafiri wake ni USD 720
 6. Trendz

  Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

  Huyo ni moja kati ya wateja wangu walioagiza Tani 1 peke yao na hapo ndio anafungua mzigo.
 7. Trendz

  Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

  Nina groups za whatsapp na instagram page ambayo napost mara moja moja sana https://chat.whatsapp.com/DNZpOOzbGA58Ya51SrAhL5
 8. Trendz

  Naomba msaada wowote wa kupata C/tion, wazo, direction kuhusu ajira

  Wewe ingia ktk system ya UN UN Careers Jisajiri humu ndani halafu apply uwezavyo mpaka internship programs we apply Ila tu uwe tayari kupangwa kada yoyote chini ya UN na nchi yoyote hata zilizo na machafuko [emoji1666] Haina haja ya connection we omba Mungu
 9. Trendz

  Naomba msaada wowote wa kupata C/tion, wazo, direction kuhusu ajira

  Ndio maana nimemuuliza lugha nyingine so relax Halafu sijamkosoa
 10. Trendz

  Naomba msaada wowote wa kupata C/tion, wazo, direction kuhusu ajira

  Umemaliza 2020 inamaana chuo umeingia 2017. Hukujua kitu unaenda kusoma kitasumbua ajira ?? Haya unajua lugha yoyote mbali na kiswahili/English??
 11. Trendz

  INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

  Basi nitatumia hii mbegu yao ya bure kutoka serikalini Kuhusu miche mingine ningeomba mawasiliano yako na location
 12. Trendz

  INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

  Lily Tony habari, Ninaaandaa shamba sasa hivi huko pwani, lakini wenyeji wanasema niliandae kwa awamu yani nimekata msitu, nichome sasa halafu nikwatue na jembe la mkono bila kutoa visiki mpaka mwakani Sasa wenyeji wanasema nipande muhogo. Ila mbegu yao ni ile inaitwa MSAADA, hii inachukua...
 13. Trendz

  Natafuta shamba pwani

  Funga safari nenda mahali usika unataka kaonane na mtendaji ofisini kwake Utapewa Maelezo na bei nzuri tu na mikataba ya serikali kabisa. Huku unaweza elekezwa mtu anayeuza na bei zao huwa ni laki 3/5
 14. Trendz

  Natafuta ajira katika fani ya ujenzi

  Hiyo ni wewe kufatilia sasa sio mimi [emoji1666]
 15. Trendz

  Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

  Hizi pia tunafungia watu wakihitaji Ni serving dishes za katika masherehe Naweka picha photoshooted pia ili muweze kuelewa
Top Bottom