Recent content by Trecy Kidoti

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nimuweke kundigani? malaya au mwenyemapenzi ya kweli kwangu?

    Hahaha sa si kaona we ni mzee wa michepuko mbona hakukutafuta mara ya kwanza alivyoona mmh jamaa wa michepuko kakutafuta basi kula umeweza kwa wengine kwake unashindwaje
  2. T

    JamiiForums Tanzania "Mume wa mtu mtamu bana" ...

    Mtamuuu anajua kuhudumia yan we unasema tu baby natakaa hikii anakwambia mm subiri ule mkopo wangu baby ntakununulia hahahahaha. mbioooooo simooooooo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Njooni hapa, mambo yamekuwa magumu sana kwenye hii ndoa

    Alafu wanawake tuko tofauti kuna ambaye ukichepuka analiaaa ananuna wiki unaomba msamaha yanaisha. Kuna ambaye hajui kusamehe kabisa kama mimi lile tukio linajirudia kichwan kila akiwaza kurudisha mapenzi kwako hasira inapanda huyo harudilazima achepuke, kuna mwingine anaweza asichepuke ila...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Njooni hapa, mambo yamekuwa magumu sana kwenye hii ndoa

    yan mi ndo ukiondoka nashukuru na sherehe nafanya na kadi nakupa uje kuhudhuria party ya kuondoka kwako chezea mujin weyee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Njooni hapa, mambo yamekuwa magumu sana kwenye hii ndoa

    Naomba nikuambie Rest in Peace kabla hujafa jaman ili jue wakati unalazmisha Mungu akupende nami nilikua mmoja kati ya wale walokupenda zaidi Bravooo kwa mwanamke mwenzangu mchumu kwa niaba yangu kwanini apige kelele wakati adhabu zipoo hahahahaaa safi sana ukome na nina uhakika hutarudia tena
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo jamani

    Mambo ya ndoa magumu mi kwa akili zangu uwiiii sijui yan ngoja niolewe
  7. T

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa Sales and Marketing

    Wapi sasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Mi siku hizi nawashauri madogo tu waende education angalau uhakika upo huko ila si wengine tunamiaka mi4 majumban
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nipo kitambo ila ndo meanza kuchart rasmi

    Nipo kitamboo sema ndo vile nilikua siiingii meanza rasmi ati
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maujuzi mapya , Nusra nivunjwe shingo!

    Nimechekaaa hahaha loh
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kukata kiuno wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke

    huyo anajua kukatika ni kukatika tu hajafunzwa kwenda na mirindimo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kukata kiuno wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke

    kiuno siku hizi sio kabila ni utundu wa mtu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kipi unajivunia kwa mpenzi wako wa zamani?

    Mengi ila yeye ni maumivu to different women sikumbuki chochote zaid napata hasira tu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ninampenda sana,anataka kuoa lakini hataki tuachane

    hahaha anaakili nusu aisee yan anaekupenda anaweza kukufanya kimada? Kimada kweli? Akubali kashatumiwa ajipange upya asonge mbele atapata anaemstahiri na wanaume wa hivyo wanaushawishi mkubwa anakuumiza anakupuliza atoke kwa huyo mwanaume wala hampendi angempenda sana ngemuoa
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejitambua wa kazi gani?

    hahaha neno Kuntuuu iloooooo tena sana haswaaa baby i love u nying wakati hata hajielewi kesho yake nini kila siku ye babay sina kitu sa unafnya nini upatee
Back
Top Bottom