Maujuzi mapya , Nusra nivunjwe shingo!

ushauri wangu, acha kuangalia porn, scientifically si nzuri ipo siku utaanza pata tabu kumfikisha mpenzi wako kileleni, au siku nyingine machine itagoma kuwaka hadi umfikirie flani uliyemuona kwenye porn, au pozi flani, na utamwaga fasta sana dakika mbili tatu hoi, round ya pili machine inakuja kuwaka umesubiri robo saa..

noted mkuu! Ila mi round ya kwanza ndo namaliziaga kila kitu..yaan sina round ya pili
ninang'oka mpaka mwenyewe aseme amechoka!
Kwa tunaojua namna ya kucheza na akili, hatuzijui hizo round mnazosema!
 
noted mkuu! Ila mi round ya kwanza ndo namaliziaga kila kitu..yaan sina round ya pili
ninang'oka mpaka mwenyewe aseme amechoka!
Kwa tunaojua namna ya kucheza na akili, hatuzijui hizo round mnazosema!
its very possible infact its healthy kwenda round moja tu ila kwa muangalia porn i doubt t unless binti nae muangalia porn pia wanachoka wote mapema
 
Back
Top Bottom