habari wadau,
tatizo langu ni pc yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonesha rangi ya pink na kijani..msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote..
Habari wadau,
Tatizo langu ni PC yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonyesha rangi ya pink na kijani. Msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote.
samsung R 70
ram 2gb
hdd 250gb
screen inch 15.4
bettery life 3 hours..
bei laki nne Maongez yapo..
ipo katika hali nzuri japo ni used..ukihitaj nichek 0672047940
waxup nichek nkutumie picha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.