Kwa wapenzi wa simulation PC games

Kwa wapenzi wa simulation PC games

tatzo la call of duty system requirement kubwa.
me naitaji gemu angalau zenye gpu ya mb256 kuxuka chini ndo naweza kucheza bila shida.
unaweza ukapunguza vitu kama resolution ili kufanya atleast iwe smooth
 
Mm napenda game tena sana lakin kwa stimulation games hapana sjawahi cheza ila nina gem kibao katika pc yangu kama gta5 pes16 watchdogs need for speed the ru na nyengine nying tu

habari mkuu vp naweza kuipata pes 2016
 
Mm nina shida hiyo bus simulator kila niki download play store inagoma ku funguka na kama ikifinguka basi inakuwa sio nzuri.
Kama maomba msaada wa link tafadhari...
 
Kwa anayejua, Eti gta san andreas unaweza ku update mod mpya kama majeshi, zana za kivita na mengine? Kwa anayejua naomba msaada
 
euro truck simulator la ukweli sana ukipata lenye ramani za nchi nyingi unaweza ukashinda hapo kutwa nzima
 
Back
Top Bottom