Recent content by traveller_me

  1. T

    Viashiria katika ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili na viwakilishi vyake

    Girls From Your Town - No Selfie - Anonymous Casual Dating https://secrelocal.com Womens From Your Town - Anonymous Casual Dating - No Selfie
  2. T

    Unaishi vipi na mpenzi wako mwenye asili ya udokozi?

    Kwani classmates hawawezi kuwa makahaba
  3. T

    Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    Wanasema "" "To every successful hangover, there is a promise of not to drink again". Hiyo wiki sikugusa hata chupa Moja ya beer..
  4. T

    Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    Hiyo ilinikuta 2008 nikiwa na kampuni fulani hivi... Siku hiyo sina kitu mishale ya saa Saba hivi inatokea dili fulani nikapiga kama milioni tatu hivi... Sasa Ile furaha nitasema nikajipongeze kidogo na washkaji jioni yake. Kumbuka nimetoka asubuhi nyumbani sina kitu. Basi nikawaita wanangu kama...
  5. T

    Ngozi kuwasha baada ya kuoga ni shida Gani

    Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
  6. T

    HAI: Mwalimu awekwa rumande kwa kushindwa kuandika jina la Mkuu wa Wilaya

    unaweza kushangaa sana lakini pengine kuna watumishi hawajui vyema majina kamili ya walio wakuu wao hata hapo ofisi alipo.
Back
Top Bottom