Recent content by traveller18

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dj KHALED Shows

    Eti wadau hivi Dj khaled anafanyaje shows zake maana nikicheki nyimbo zake nyingi sana anawaachia wanaimba wengine tu ye haimbi chochote sasa shows inakuaje?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada car switch

    Wadau naomba kuuliza hicho ki swichi kinaitwaje kitaalamu? Pia nakihitaji kwa mwenye kujua napoweza kukipata
  3. T

    JamiiForums Tanzania SPIKA YA GARI INAUZWA

    Wadau kuna spika ya gari naiuza kwa atakayehitaji bei sh laki location ni moshi. Naiuza sababu sihitaj mziki mkubwa wa gari Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nahitaji mtu wa kubadilishana nae korean& american drama ukiwa moshi au arusha ni poa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wadau, nahitaji mtu wa kubadilishana nae muvi za kikorea(kwa waliopo A Town au Moshi) Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUHAMISHIA APP. KWENYE PROGRAM FILES( DISC C)

    Nimekusoma ngoja nijaribu tena Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUHAMISHIA APP. KWENYE PROGRAM FILES( DISC C)

    Naomba mjuzi anisaidie ,nataka ku update eurotruck sasa kuna ka program(updater) kana demand nikahamishie kwanza niliko install hiyo game ili niweze update, nikijaribu kuhamisha inagoma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na windows defender ktk PC hakuna haja ya kuweka antivirus?

    Shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na windows defender ktk PC hakuna haja ya kuweka antivirus?

    Shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na windows defender ktk PC hakuna haja ya kuweka antivirus?

    Wajuzi naomba mnieleweshe hivi ukiwa na windows defender ktk pc hakuna haja ya kuweka antivirus?? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    JamiiForums Tanzania 1TB external HDD needed

    Upo wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    JamiiForums Tanzania 1TB external HDD needed

    Nahitaji hiyo kitu hapo mfuko wangu ni laki, nipo Moshi kwa anaeuza na yupo Moshi au Arusha anichek fasta PM. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T

    JamiiForums Tanzania Moyo Mashine....

    Kutungiwa sio tatizo hadi akina rihanna, justin bieber na mastaa kibao wa huko mbele wanatungiwa mashairi. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. T

    JamiiForums Tanzania Moyo Mashine....

    Alitamba na ngoma inaitwa "Sophia" Sent using Jamii Forums mobile app
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Nonsense!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom