traveller18
Member
- Jun 16, 2017
- 27
- 2
Nahitaji hiyo kitu hapo mfuko wangu ni laki, nipo Moshi kwa anaeuza na yupo Moshi au Arusha anichek fasta PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi?Nina 2tb. Imej aa movies n series na miziki ya kizungu tu nauza kwa 200k.
♂️naenda zimbobo.
Mkuu sijakupata kidogo hapa.nunua internal nunua na kasha, internal 1TB unapata hio laki na kasha ni 10,000 hadi 15,000
unaenda dukani unanunua hard disk ya laptop, zinakuwa ni bei rahisi kuliko external inakuwa kama hiviMkuu sijakupata kidogo hapa.