Recent content by TrapQueen

  1. T

    Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    Aiseeee some women ndio mnaharibu wanaume siku hizi hivi if that husband has been faithful all along akaja kujua mambo hayo ataacha kuchukia wanawake??? N based on story ninazozisoma kila siku humu JF ndani wanawake siku hizi tunawazidi hata wanaume kwa uzinzi yani ligi sisi tunaongoza maana mtu...
  2. T

    Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

    Inawezekana mkeo ana low libido ila mmmh kwa muda wote huo maana mm najua huwa inawapata wanawake wakiwa na stress nyingi au kazi nyingi probably kulea watt kama hamna dada wa kazi na ukijumlisha na kazi za kazini ila cha muhimu ni kukaa kuongea nae au pengine she is a masturbation addict wapo...
  3. T

    Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

    Word umemaliza kila kitu hamna cha ziada cha kuongezea
  4. T

    Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

    Mi nahisi umeshindwa tu kumsoma mkeo yeye anachomaanisha hapo ni kwamba hataki wewe ba huyo dada muwe pamoja peke yenu vishawishi vingi na huyo jirani nae hana adabu ningekuwa mimi kama upo peke yako mkeo hayupo hiyo lifti ni mwiko sipandi na yeye anashindwa kujiongeza maana kuna wadada wengine...
  5. T

    Mwanaume kwa asili ni Polygamist, Lazima atatafuta wa pili

    Mnakazana michepuko ni inevitable u can't vumilia kuishi na mwanamke mmoja wakati mkitoka huko nje kwa michepuko hamna lolote la maana unalofanya wengi wenu sio siri mnaenda tu kuaibisha wake zenu mngejua bora mngekituliza tu kwa wake zenu mnakaa kupiga kibao kimoja tu uko chali kazi kweli...
  6. T

    Wanawake kwa Wanaume

    Nazidi kudhihirisha umri wako simply immature kakue kwanza halafu urudi
  7. T

    Wanawake kwa Wanaume

    Uandishi wako ni dhahiri uko under 20 maana hakuna ulichaondika nadhani na ww ni wale wasichana wa kuandika vifupisho kwenye txts mpaka mtu akisoma lazima atumie shortformcyclopedia eg enx for thanx karudi tena ujifunze kuandika vitu vinavieleweka halafu urudi
  8. T

    Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

    Yani wewe dada na hii nayo ni mada ya kuja kuombea ushauri?? Seriously ptuuuuu wadada wenzangu mnatia aibu saa zingine hata haya huna na kwa miaka yako inaonekana dhahiri hujapevuka kiakili kazi kupenda short cut haya mama nenda kaolewe na baba yako na watt wenu mtakaozaa wataoana wao kwa wao na...
  9. T

    Mwanamke unapomwambia unampenda anakujibu "ahsante"

    Haiwezekani umtamkie neno nakupenda mwanamke out of nowhea esp kama ndio kwanza upo stage za kwanza za kuanza kuchombeza tena kwenye simu aisee hata mimi nakujibu ahsante hapo it's either huna chako u r wasting ur time au umebugi tu gia za kumuingia halafu napata mashaka maana nimemjibu mtu hivo...
  10. T

    Wakina Dada usiumize kichwa, sio kila mwanaume anacheat kwasababu

    SMH pale wahuni wanapojaribu ku justify uhuni wao kwa sababu za kijinga kabisa only the insecure women will fall for such stupid reasons
  11. T

    Naumbuka! Nina Kibamia na nawahi kufika kileleni

    Je wamepata watoto??! Nilishawahi kupost hapa am facing the same problem
  12. T

    Ana mchumba, lakini amepata ujauzito wa mwanaume mwingine

    Hiyo mimba ya rafiki yako au yako na wasiwasi unaomba ushauri kijanja hapa tena ushauri wa kijinga kabisa
  13. T

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Pita hivi 👉👉
  14. T

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Yani mwanzoni alikuwa anapata erections vizuri tu na ndio akawa anafanya punyeto kutumia porn kwahiyo imemuathiri kisaikolojia amezoea kupata hisia kwa kutumia picha za kutazama na sio kwa kuona mwili wa mwanamke mbele yake sijui naeleweka au bado? ?
  15. T

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Sawa nimekuelewa kwahiyo wewe unahisi tatizo ni nn?? Unaweza kutoa mchango wako labda ukasaidia
Back
Top Bottom