Hello.. Mimi ni mwanasayansi na mwanatechnolojia wa Vyakula. Napenda kuwataarifu walewote wanaoshumbuliwa na magonjwa yatokanayo na vyakula mfano.
KITAMBI,
NYAMA ZEMBE,
KWASHAKOO, UTAPIA MLO,
KISUKARI, PRESHA,
STROKE, KUKOSA HAMU YAKULA.
KUKOSA HAJA.
KUPATA HAJA KAVU.(CONSTIPATION)
UCHOVU...