Recent content by trapad++

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma tabora boys

    Tabora boys kichwa cha Tanzania
  2. T

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Nashauri kabla ya uchaguzi,mabadiliko ya katiba ya CDM yafanyike kuhusu madaraka ya mwenyekiti kuteua majina kwa nafasi ya katibu mkuu na naibu katibu mkuu
  3. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA VS CCM wote mnatatizo la uongozi CHADEMA wanapaa na wameweza CCM mtaweza kishindo

    Mgogoro huu umetuamsha na kutufanya tusome na kuzifahamu katiba za vyama hasa CDM,na kuhusu mgogoro kuna upande unatumia mabavu na mwingine unafuata katiba inavyoainisha hata kama ndio una makosa.Pia katiba ya CDM ina mpa madaraka makubwa mwenyekiti ya kuteua watu wake katika nafasi ya katibu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Katiba ya CDM ina mpa madaraka makubwa m/kiti ya kuweka watu wake ktk nafasi ya katibu mkuu na naibu wake na baadhi ya viongozi:Hii inawafanya watu kutamani nafasi hiyo na ndio chanzo cha migogoro
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kuendelea na Ziara Mikoani Kuzungumza na Wanachama na Watanzania

    Well said!Wanachofanya CC ni kinyume na katiba na kanuni za Chama.
  6. T

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    Kikatiba ya chadema zito yupo sahihi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanaojiunga kwenye vyama vya siasa kufuata mtu... Hawafai

    Tatizo ni ubovu wa katiba za vyama vya siasa ambazo zinampa madaraka M/kiti kuteua majina ya katibu na naibu wake ili wachaguliwe na wajumbe.Hii inamfanya katibu mkuu kuwa mwoga kwa m/kiti hata kama kakosea.Tunapolalamikia madaraka ya Raisi ni lazima turekebishe madaraka ya m/kiti kwanza
  8. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

    Ushauri wako ni mzuri sana
  9. T

    JamiiForums Tanzania TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Siasa za upinzani zimekuwa na mashaka sana,sasa inafikia hatua wananchi tunashindwa kuwaamini,maana kila baada ya miaka kadhaa wasaliti wanapatikana ambao walikuwa viongozi mahili wa chama,tusishangae miaka mitano baadae Lissu ama Mnyika wakawa miongoni mwa Wasaliti.Kwa utaratibu huo ni vyema...
  10. T

    JamiiForums Tanzania kwa waliosoma tabora boys, tabora girls, milambo na kazima

    Warsaw walikuwa wachokozi sana but nakumbuka tukio la Mwaka 2002 baada ya kushinda Basket Uhazili dhidi ya walambo tulirudi kwa shangwe na kupita katikati ya mabweni na madarasa ya warsaw
  11. T

    JamiiForums Tanzania kwa waliosoma tabora boys, tabora girls, milambo na kazima

    Nilikuwa Berlin from 2002 to 2008
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe bado tunakuhitaji chadema hadi utakapo taka kuondoka

    Ni wakati wa chadema kuonesha wana watu wengi wenye uwezo hata kushika madaraka mbalimbali kiserikali na hili litawezekana kwa kuwaamini watu wengine kuongoza chama mbali na Mbowe,Slaa na Zito
  13. T

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atoroka Vatican usiku

    Vatican haijazungushiwa ukuta
Back
Top Bottom