Live itv:mjadala wa rasilimali za taifa;wageni dkt.mengi,prof.muhongo,mb.mnyi ka n.k


M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2013
Messages
409
Likes
124
Points
60
M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2013
409 124 60
Ni mjadala wenye mada kuu inayohusu "Rasilimali zetu na maendeleo ya taifa na nafasi ya mtanzania kumiliki rasilimali za taifa" for more updates stay tuned
 
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
1,871
Likes
717
Points
280
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
1,871 717 280
Hatuna umeme mda huu tafadhali!!
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
kama hamna umeme msijali mtajuzwa kila kinachoendelea. relax
 
M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2013
Messages
409
Likes
124
Points
60
M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2013
409 124 60
wageni waalikwa ni Dr.Mengi, Mb.Mnyika, Tundu Lissu,Prof.Mkandala,Prof.Muhongo na wengineo,Prof.Muhongo ndie atakae funga mkutano huu
 
N

ngege john

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
587
Likes
32
Points
45
N

ngege john

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
587 32 45
huyo professa ameshachukua chake na ndio maana hana mpango na uchungu wa nchi yake.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
30,110
Likes
12,252
Points
280
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
30,110 12,252 280
Leo siku za mengi kuonekana boya ndo zimetimia.limjamaa linamcheck tu
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
maneno ya kusema kwamba wanataka kuchukua vitaru badala ya tpdc ni uongo wao wanataka washindanishwe sawa na wawekezaji wa nje .

pia unaposema watanzania hawana mtaji ni uongo sababu yeye toka mdogo amefundishwa mtaji ni ardhi na rasilimali zilizopo
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
uchumi wa Tanzania unamilikiwa kwa kiasi kikubwa na wageni.
na Dira ya Taifa 2020-25 inataka watanzania wawe wamewezeshwa kiasi kikubwa kumiliki uchumi wa nchi. msingi mkubwa wa uchumi unaokua endelevu lazima uhusishe wananchi sababu wageni wakishachuma uondoka -Mengi
 
Sultan_mdosse

Sultan_mdosse

Senior Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
142
Likes
0
Points
33
Age
27
Sultan_mdosse

Sultan_mdosse

Senior Member
Joined Nov 24, 2013
142 0 33
Umeme makwetu ni shidaaa tunashindwa kufuatilia mijadala moto moto kama hiyo
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
wakat huo huo profesa muhongo anacheka kwa dharau wakat mengi anazungumza
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
kikubwa Mengi anataka wazawa nao wapewe vitaru katolea mfano Nigeria wazawa wamepewa asilimia 52 .hivo Tanzania lazima tutoe vitaru kwa wazawa na serikali ifate sera ya 2004 ya kumuwezesha mtanzania kumilik uchumi wake.

mnyika anaingia sasa hivi
 
Mwandwanga

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
2,902
Likes
858
Points
280
Mwandwanga

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
2,902 858 280
kikubwa Mengi anataka wazawa nao wapewe vitaru katolea mfano Nigeria wazawa wamepewa asilimia 52 .hivo Tanzania lazima tutoe vitaru kwa wazawa na serikali ifate sera ya 2004 ya kumuwezesha mtanzania kumilik uchumi wake.

mnyika anaingia sasa hivi
Wasomi wa Udsm hao....Prof anadharau sijapata shuhudia kabla.....
 
M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2013
Messages
409
Likes
124
Points
60
M2flan

M2flan

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2013
409 124 60
Mb.Tundu lisu ametoka kuchangia anauliza je watanzania maliasili tulizonazo tunamiliki kidhania au kiuhalisia kulingana na namna jinsi maliasili inavyonufaisha wageni.Pia amezungumzia juu ya sera ya gesi iliyotolewa kuwa haiko sahihi kwa kuwa umezungumzia Midstream na Lower Stream huku UpStream hajazungumziwa na huo ndio udhaifu wa sera hii.
 
MIDFIELD

MIDFIELD

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Messages
1,915
Likes
172
Points
160
MIDFIELD

MIDFIELD

JF-Expert Member
Joined May 27, 2013
1,915 172 160
wakat huo huo profesa muhongo anacheka kwa dharau
Ulikuwa mtazamo wako Stunna, sidhani kama alikuwa anadharau, nimewaona wote na mpaka sasa mjadala unaendelea
 

Forum statistics

Threads 1,250,604
Members 481,419
Posts 29,738,564