Tunakuhitaji bado kwani utumishi wako umetukuka, mbowe kaongoza chadema tangu 2004, hiki ni kipindi chake cha pili kinachoisha 2014, ni mwaka wa 9 sasa, na bado chama kinamuhitaji maana ameonesha utumishi uliotukuka hatuhitaji ccm watuchagulie kiongozi wetu ndani ya chama chetu. Tutamtaka hata aongoze miaka yote kwani anayo nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania. Ni tangu lini chama cha siasa kikachaguliwa kiongozi na chama kingine? Ni kwa nini ccm hawamtaki mbowe wanamtaka zitto? Huhitaji shule kubwa kujua siri iliyopo hapa kwa zitto.