Recent content by Transman

  1. Transman

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mwanamtandao Ashlee Jenae alifia Hospitali baada ya kukutwa amejinyonga

    Alik mgandamizo bado unahitaj kukombolewa ki firka
  2. Transman

    JamiiForums Tanzania Pale ninapokosa mtu wa kuchati usiku huu. Mambo yanakuwa hivi...

    Tahathar kijana usijekusem hatukuonya
  3. Transman

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Telaviv wapewa masaa 24 ya kuhama

    Na shida jamaa wakisema hua wanamanisha
  4. Transman

    JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Hv unajua kinachoendelea uko au kaz yako kuangalia bible tu waliokuletea wakolon? Na kuangalia BBC wa israil na marekan chupi mkonon uko wanatafuta pa kutokeA
  5. Transman

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanamiliki migodi ya dhahabu na almasi wakati wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi ndogo, huu muungano Julius alirogwa ?

    Kwa miaka mingap wazanzibar walikua wanataka muungano uvunjike lkn nan alikua kikwazo kikuu? Mbona munajifanya kusahau wengine mpaka kupewa kes na kusemwa jela kwa sabab walitaka muungano huu uvunjike kipindi chote mulikuwa wap?
  6. Transman

    JamiiForums Tanzania Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini wamejaa magerezani

    Nilichogundua kuhusu uislam kila ukiupaka matope na kutaka kuuchafua ndio km unauchochea unakua na kuimarika
  7. Transman

    JamiiForums Tanzania Picha: Hawa ni watu au sisimizi? Cheki maandamano ya leo ya Iran

    Utasuburi sana
  8. Transman

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

    Umeshawah kujiuliza kipind zanzibar ilalalamika kuwe n serikal 3 watanganyik walikua wapi.? The same pain you feel right now ndio waliyopita wa zanzibar so kuwa na utulivu kijana? Marais wangapi wameshapita kutoka Tanganyika na nini kilichofanyika? Umewah kujoji?
  9. Transman

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

    Kwan Wanzanzibar wanakupenda ww au uliwah kumskia mzanzibar akakupenda ww? Wacha kujitia mawembe
  10. Transman

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

    Kwaiyo hupend zanzibar kuwa na maendeleo?
  11. Transman

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

    Akili zako ww uyo trump yeye si ndo mfadhil mkuu wa mauwaji
  12. Transman

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Ulikuwepo wapi kipindi watanganyika wanaikandamiza Zanzibar
  13. Transman

    JamiiForums Tanzania Taja album unayoweza kuisikiliza mwanzo mwisho bila kurika wimbo wowote

    TP2.COM hii ni bonge la classic Album Ikifuatiwa na HBC CREW FUNGA KAZI
  14. Transman

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kanisa Katoliki, hija ya watu wa LGBTQ imejumuishwa rasmi katika ratiba ya Mwaka wa Jubilei wa Kanisa

    Walijificha weee mwisho kudadek wamejianika wenyewe famchezo ww! Wakowap wale proud proud😂😂😂
Back
Top Bottom