Recent content by Translator and 97 others

  1. Translator and 97 others

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mimi kukufunga wewe siku hiyo ni lazima kama maraisi wa Afrika kupanda daladala msiba wa malkia, ushindi wako msimu huu wa papatu papatu
  2. Translator and 97 others

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Za ndani ndani ni kwamba tutawakosa rashford na martial tarehe 2
  3. Translator and 97 others

    Kitambi kwa mwanamke kinakata stimu sana

    hivi kwenye ile trela ya royal tua, unasema zoezi linaweza kupunguza kitambi, sijui hata niiwekeje hii ila ndio hivyo bana
  4. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    ila yule bwana alitugwangala sana, imagine ikatengwa bajet ya kutangaza mlima kilimanjaro, kwa wasanii wa ndani na media za ndani, hivi kuna mtanzania hajui kuwa tuna mlima kilimanjaro? na mzee aliyelala yoo aka aprove, bado kukawa na tetesi kuwa alibeba poshy kupeleka katavi national park kwa...
  5. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    na hakuna kushtakiwa, Ndio yule aliyekuwa anapiga fujo watu wajiajiri
  6. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    mawazo mgando waliyo nayo ni mafanikio asilimia mia moja ya mfumo wa elimu uliopo, tuliopo nje ta box tunaambiwa tunalia lia wakati kuna waziri huko anasafirisha malaya kwenda mbuga ya wanyama kwa budget ya mil 700
  7. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    napata hasira sana, na kuna majinga kisa yana kamilioni yanajiona yameula, wakati kuna watu wanachota kodi zetu kwa mabilioni huko badala ya kuzielekeza mahali husika
  8. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    hili linaweza kufanyika kuanzia ajira zijazo (if only zitatolewa) na kuendelea. watu wanaopinga utasikia wanakuambia eti hakuna nchi iliyoendelea inayofanya hivi, sijui ni nani alitufunga akili na kutuambia kila kinachofanywa na nchi nyingine ni muafaka na kwetu.
  9. Translator and 97 others

    Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

    tunaibiwa live, then kuna watu katika mijadala nyeti kama hii wanakuja na comment zao za kipuuzi
  10. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    ficha ujinga wako, hakuna mahali nimesema wajiriwe wote
  11. Translator and 97 others

    Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    idadi ya wahitimu waliopo mtaani ni kubwa kutokana na hali ya utoaji wa ajira iliyopo tangu mwaka 2015, to make it simple, chukua idadi ya wanao maliza kila mwaka kotoka vyuo vilivyosajiliwa na serikali katika ngazi ya cheti hadi elimu ya juu. kuhusu sheria inayoitaka serikali kuajiri unaweza...
Back
Top Bottom