Mkuu wazo zuri tatizo ulitambulisha kwa ubaguzi wa kielimu,ilitosha pia ingenoga ungejenga hoja bila harufu ya udegree ili kuunganisha wachangiaji. Nakushauri fanya siku zijazo. Ila hoja yako ina mashiko makubwa. Wasomi wakat mwingine tunakosea tunapopambanua hoja kwa kuisi utaeleweka kwa...
Afunge huyo dada roho mbaya al shabab wana afadhari sababu wanaua watu wazima. Video hile inatisha.mie wanangu walishindwa kuiona bali waliishia kulia tu. Pamoja na kifungo anatakiwa kuombea atokwe pepo chafu
Pole sana upendo.wew ni jembe la ukweli. Nakumbuka kumuona kwenye kipindi cha star tv cha vijana. Nimeumia kusikia hivyo ajali. Jua hauko pekee yako. Tuna share maumivu yako kiroho. Mungu akupe uponyaji wa haraka uendeleze mapambano. Tanzania ya leo inaitaji energetic ladies kama wew
Wakuu vumilieni nadhan amefanya hivyo kusudi ili wapitie rapurapu za muhongo ili walinganishe na ya PAC, hana pa kutokea amewasilisha majibu zaifu na mepesi dhidi ya hoja nzito za PAC. Walikosa mtu mahili na makini. Kama kawaida yake kazijibu kwa dharau, eti TRA wakadai PAP au IPTL hajui hata...
Nyakanya jadili hoja sio lawama. Mtoa thead amesema kuna 'tetesi' sio statement of fact mbona watoka povu? Pia anasema kama itatokea mtizamo wetu ni upi? Moderator has got a duty 2 present raised issues 4 discussion n not otherwise. Kama wew ni mnufaika wa escrow scandal sherekea neema yako sio...
Watu tuko njian kutoka mwanza tuko 4 no kweli umeharishwa? Watu tumeishagaramika.siamin.mbona page ya humprey polepole hajaandika kitu kuhusu kuharishwa.jaman acheni matani tupe ukweli wa mambo tafadhari.
Kama kweli ataenda jk umezidi jaman. Ulitembea dunia nzima kwa miaka 10 ukiwa wazir wa nje wa mkapa.umetumia nusu ya utawala wako nje hivi uchoki kusaga hela za watu wa nchi maskin kama yetu. Iga wenzako kenya, rwanda,burundi,na kwa kaguta wote mwaka huu wamesafili mara 3hadi 4 jk 14 kidogo...
Diallo si ndo hao hao tu. Hajui kuwa vyombo vyake naanza kupoteza mvuto wa kuhabarisha na kupendwa. BBC ni chombo cha serikali ya uingereza lakin uikosoa na serikali ujirekebisha. Lakini dialo anaogopa. Ni msaka tonge siku hiz amefilisika sio kama zaman
Ni mjinga wa mwaka.vijana tumkabili mpk apate adabu. Kwa mzee warioba na mtia mwoyo, hasiuzunishwe na hilo ndo kwanza kaz imeanza. Mzee ajiue yuko na mungu na kilichomtokea si cha ajab hata george bush wa marekani aliwah kurushiwa kiatu tofauti ni kwamba bushi ni mwanajeshi alikwepa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.