Nawezaje kupata mkopo wa Access Bank ?

Nawezaje kupata mkopo wa Access Bank ?

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
328
Naomba kujua procedure za kuchukuaaa Mkopo access Bank...
 
Access ndo benk inayoongoza kuwafilisisha watanzania. Hawafai matapeli bora wafungishwe vilango na mzungu wao david wakatapel nchi zingine vilaza
 
Kwanza jiandae jirani zako wote kujua kuwa umekopa maana wataombwa kusaini baadhi ya nyaraka zao.
 
Uwiiiiii! yaani umenikumbusha hawa watu hadi nimecheka, nilienda kuomba mkopo wa biashara, akaja dada mmoja afisa wa access kunitembelea, akanipigia tuonane dukan mi nikamsubir akaja, sasa mbwembwe zilizoanza, akakagua biashara tukajaza form kisha akaniambia nisubir nakuja, akatoka akaanza kupita duka kwa duka kuwawauliza kama ni biashara yangu, akamaliza akasema twende nyumban kufika nyumban akandikisha dhaman kisha akawa anatoka kwenda kwa majiran, ''nikamuuliza vip unaenda wapi?'' akajibu nataka nijiridhishe kwa majirani kama hapa kwako, nikamwambia kwa hy mjumbe, mtendaji kati na mwenyekiti wa kijiji wote wamekudanganya. nikamtolea uvivu nikamwambia mambo yakutangazana kwa mkopo wa mil 1.5 sitaki, nameghair nipe doc zangu. akawa mdogo ''eti ooh! usitumie hasira'' nikamwambia nipe kesho niamkie ACB. akanipa na kesho yake nikaenda akiba ndani ya wik wakanipa hela bila kuhonga hata 10
 
Haaaaaa haaaaaaaa..haaaaaa haaaaaa...kaka umenikata maini kabisa...ngoja niende Akibaaaaaaaaa
 
kama upo Dar nione pm nikuunge na mtu, unapata mkopo bila kutoa sh5, na haraka sana, ukikamilisha taratibu ndani ya wiki unachukua chako.
 
Hawafai kwann unapochukuwa mkopo kama unaenda kuongea malaya au kushona shuti lazima u waone hawafai
 
Back
Top Bottom