Recent content by trachy

  1. T

    TAHADHARI: Muogopeni mtu huyu ni hatari

    Hafai hata kulumangia huyo... Watu wa namna hiyo wanakuwaga smart na simu za Bei mbaya..
  2. T

    Christmas: Askofu Kakobe kuzungumzia mustakabali wa Taifa

    Ni raia na Ana kundi kubwa linalomfuata,tena la Watanzania. Asikilizwe.
  3. T

    Kwa watu wazima tu 35+

    Nadhani hayo ni maajabu ya kufunga mwaka
  4. T

    P Funk achangia mil.5 kusafirisha mwili wa Mangwea

    Nimemsikia kwenye planet bongo ya EA radio,anasema the guy went into drugs,walipata kumwuliza uliza akawa anadeny... But anaregret hawakufanya zaidi ya hapo,like kuongea na ndugu zake na vitu kama hivyo. Anasema album ya A.K.A. Mimi ilipata kuwa the best album in market. Lakini hakupata...
  5. T

    Picha za Lwakatare akiwa mahakanini leo ambapo kafutiwa mashitaka ya ugaidi

    Watu wengine wa ajabu sana. Nani aliyekwambia Lwakatare ana pair moja tu ya gwanda? Ama nani alikupa ratiba ya nguo zake za kushindia? Ama alizokuwa akitumia huko mahabusu ni lazima zitumike siku anayoenda mahakamani? Ungekuwa unamjua Lulu,usingehoji ujinga wa harufu ya nguo ulizomwona nazo...
  6. T

    Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

    Yuko wapi Mh Magdalena Sakaya jamani?
  7. T

    Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

    Hivi Mh Magdalena Sakaya yuko wapi siku hizi? Mbunge shupavu sana yule..
  8. T

    Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

    Nchimbi masuala mengine anayajibu kisiasa. Anaharibu atmosphere kama nini!
  9. T

    Ruge unatakiwa uombe msamaha haraka sana

    Baadhi yenu hamkuusoma wosia wa Jide. Bora angeilaumu Clouds kama taasisi. Kumattack mtu personally ni kumdhalilisha,na kukosa heshima..
  10. T

    Mazishi ya clouds fm facebook page

    Yangu macho..
  11. T

    Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

    Ila Mh Pindi Chana alitoka povu sana bila kujadili mambo ya polisi,uhamiaji au madawa ya kulevya.
  12. T

    Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

    Mpiga Kelele kama kuna kitu chema unakubali. Kwa mfano hiyo programu yao ya 'Made in Tanzania' ni nzuri na ya kufikirisha ubongo. Fuatilia kwa makini. About 60 workers wataenda Dom,kuinaugurate hiyo programme. Alitoa mfano pale Sinza kuna saloon za nywele kibao. Akauliza kama kuna mtu ameshawahi...
  13. T

    Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

    Yaani Jide bana kachemka kweli. Ruge kaongea yyote. Akasema ziko radio station zaidi 100,azitumie hata hizo.Na Ruge kasema hakuwahi kuona mantiki ya kujibizana msg na Jide ingawa Jide alikuwa akimtumia sana sms,yeye anampigia. Amekuwa akimuuliza tatizo lililopo ili walimalize,Jide anapotezea...
  14. T

    Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

    EA radio ilimbania Ray C. Kwa mujibu wa Ruge,alimchukua Ray C hadi kwa mzee Mengi,akaelekezwa matatizo yake,tatizo likaisha!
  15. T

    Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

    Hata kama kuna tatizo,alichofanya Jide sio njia nzuri ya kulitatua..
Back
Top Bottom