Recent content by trachomatis

 1. trachomatis

  Strategy ya Corona ya Rais Samia ni ipi?

  Mi ninachoshukuru ni approach ya kutoujali sana huu ugonjwa. Maana ulileta hofu kubwa. Na hofu ikasambaa kila mahali. Matokeo ya hofu huwa ni mabaya, kwani inaleta upungufu wa kinga mwilini, na hivyo kuugua magonjwa kirahisi, na hatimaye kupoteza maisha. Ushauri ni kuendelea na maisha binafsi ya...
 2. trachomatis

  Redio za FM zinaajiri watangazaji wasio na taaluma

  Ishu hapo Ni wizara husika kusimamia miongozo ya uendeshaji wa taaluma husika. Hata nchi zilizoendelea fuatilia Hadi nyimbo za kufokafoka, wanamuziki wengi Kama siyo wote, wamepitia elimu ya sanaa kwanza, ndipo wakaingia katika kutafuta riziki. Si hao wachekeshaji tu wanaovuruga taaluma ya...
 3. trachomatis

  Je, amri wanazotoa Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine huwa zinadumu au wakiondoka nazo zinafutika?

  Kwani Kuna utafiti uliofanyika kwenye vituo vya mabasi na treni, au meli na kuona palitokea upungufu wa wageni jijini? Tuanzie hapo kwanza mkuu!!
 4. trachomatis

  Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

  Alipokojolewa na Wajelajela na Ruvu sijui ulisemaje
 5. trachomatis

  CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

  Mi paragraph ya kwanza tu aliyomalizia kwa kusema uchaguzi ulikuwa huru na haki, ndipo hapo sikutaka kuendelea kuisoma makala yake. Bora angesema "unaodhaniwa", au "unaodaiwa" , au "unaonasibishwa" kuwa ulikuwa huru na haki. Sasa yeye ka-confirm kabisa!!! Nikaachana nayo... Nikapita vile.
 6. trachomatis

  Watanzania tuliambiwa tuandamane tukakataa. Acheni tuendelee kudhalilishwa

  Hatujachoka, ama hayajatufika "hapa".. ikifikia stage hiyo, hakuna atakayekuhamasisha.. rejea Tunisia vuguvugu lao lilianzaje...
 7. trachomatis

  Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

  Hata ukweli wenyewe hapo hajauzungumzua Sasa ndiyo pengo la hiyo speech... Ila ndiyo turufu kuu iliyobaki nadhani ya kuleta suluhu kati yao na uongozi wa Chadema. Wakaonelea wasimwage mpunga penye kuku wengi.
 8. trachomatis

  Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

  Mbona Marekani hamna shida hizo. Kuna sheria zinazowekwa na majimbo husika, na Kuna sheria za federal... Za nchi nzima, ambazo majimbo hayawezi kupingana nazo...
 9. trachomatis

  Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

  Awamu hii katiba ya nchi Ni Kama haikuwepo
 10. trachomatis

  Mmezoea vya kunyonga hamviwezi vya kuchinja. Hongera sana Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

  Ndiyo hapo Sasa... Bora uwe na misimamo yako,ila usijionyeshe wazi uko upande mmoja... Sasa nchi yetu itakuwa inachekesha,waandishi wanatakiwa watunze kumbukumbu hizi za era ambayo katiba haikuwahi kuonekana ipo. Wabunge wanafutwa uanachama,bado wanaendelea na ubunge, mf. Mwambe wa Ndanda. Mtu...
 11. trachomatis

  Mkakati wa CHADEMA Kugomea Viti Maalumu ni 'Political Maneuver' isiyokuwa na tija yoyote

  Kupanga Ni kuchagua. They have chosen their way, it's up to them. Ya nini wabembelezwe... At the end of the day,hawatakuwa na ruzuku,watakufa a natural death eventually..
Top Bottom