trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
"There was an error. Please try again."
Mimi ni mtumiaji wa Clubhouse kwa miezi miwili hivi. Nina swali moja, huwa ninashindwa kujiunga na ma-group... Yaani kuwa member. Niki-click pale kwenye kile "kinyumba", yanakuja maelezo hayo hapo juu... Naombeni ushauri juu ya hilo.
Asante.