Recent content by Trable

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    Dah! Kuna kipindi nimeanza kufikiri, huwenda sisi nchi yetu, mfumo tulionao haujatufaa Huu mfumo wa Rais na mawaziri watokane na vyama, nadhani kwetu sisi hautupi nafasi ya kujadili mambo yetu tukiwa huru Wabunge badala ya kuwa huru kujadili mambo ya kitaifa, wanakuwa waoga kwa sababu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    2013 umesahau mkuu, Nani alisababisha tukose Katiba?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara. Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto! Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Si ndiyo huyu Mwalimu Nyerere alikuwa akimwita na ama akitaka kumuonya alimwita, wewe John, njoo!! Ulitaka kusema nini?? Mwalimu hakutaka kumwita Mh waziri mkuu Jonh Malecela Huyu hawezi kubadiri chochote kwa tunaoupinga huu mkataba wa kuchukua Bandari zetu zooote!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Hata Samia moyoni hautaki huu mradi ila basi tu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

    😁😁😁😁😁
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Mkataba wa TPA na DP World siyo wa kwanza kupelekwa Bungeni kwani Magufuli alishaleta Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda!

    Shida ni kwamba, kuna saini za wakuu tayari zilishaanguka kwenye hiyo IGA, Ifanyiwe marekebisho kwenda kusainiwa kwa nani tena?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchumi wa Buluu ni fusra

    Bandari zetu zooote kupewa DP word bila shariti la lini mkataba utaishia, nazo zimo kwenye Buluu?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, Intergovernmental agreement (IGA) kati ya EMirate of Dubai, au The United Arab of Emirate, DP worl na JMT ni MoU?

    Unadhani kipo ambacho haswaa bunge linapaswa kujadili Ni mkataba... au makubaliano kwa maana ya IGA?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

    Unayemtetea, alingia pasipo kutegemea, kwa sababu hiyo, anapaswa adhibitiwe, unyayo hadi unyayo, anaweza kufanya tusiyoyategemea, kama hili la kuuza Bandari zooote za Tanganyika Hili hata wewe mtetezi najua linakuuma, ila kwa sababu ya interest zako tu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

    Putin anyongwe kabisa, pumbavu zake, analeta shobo kwa wanaume??
Back
Top Bottom