Recent content by toyoko

  1. T

    JamiiForums Tanzania Huawei Y330 inauzwa leo kwa bei nafuu zaidi

    Chukua hii 75 mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Fast Huawei Y511 inauzwa

    chukua 80k ndugu kama bado ipo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    mpe mbunye huo, acha kumbania bania mwana wa mwanamke mwenzio
  4. T

    JamiiForums Tanzania MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

    hayupo ila wewe ndiye upo level yake
  5. T

    JamiiForums Tanzania MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

    eh bado yupo
  6. T

    JamiiForums Tanzania MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

    Dah kaiba for the first time duku duku limenikaba kooni yaani haijawahi kutokea ktk maisha yangu hapo kabla ijapakuwa nimeanza kuupenda huu mziki toka mwaka 2000 ila yote na yote ongera kwake kijana wa hapa kazi tu ukawa mi nilie pekee yangu
  7. T

    JamiiForums Tanzania MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

    naamini mtakuja kuona aibu na kutafuta pakujifichia pindi wajina Kaiba inatosha kwa sasa nanyamaza kimya sizungumzi kitu ila siku itapofika mtalia kwa kusaga meno Neyo asingekuja hapo kwa jirani msingekuwa na uwezo wa kufanya naye collabo nyinyi
  8. T

    JamiiForums Tanzania MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

    diamond kashafanya yake na ne yo ktk studio ya sheddy clever kiukweli natamani hata kulia maana namhurumia wa jina wangu ali kaiba kaiba diamond kamuiba ne yo acha nilie mamaaa maaamaaa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtumia salamu Rais Kim Jong Un

    north korea
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 11 ajifungua huko Paraguay

    hata kama ana mwili mkubwa lakini ukweli utabaki pale pale kuwa yeye ni mtoto tu mi ninachoiomba serikali yake imfunge kifungo cha maisha huyo baba yake wakufikia maana ni sawa muuaji tu hafai kuwepo uraiyani kabisa
  11. T

    JamiiForums Tanzania North Korea threatens to ‘invade US’ unless S Korean military exercises aren’t halted

    Lisemwalo lipo kama halipo lina?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

    uzuri wa mwanamke sio sura wala umbo bali ni tabia nzuri
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

    upo sahihi kuna wasanii wengi wa kibongo wamekuwa wavivu kuzitangaza kazi zao ktk mitandao yao na badala yake wanauachia uongozi wao pekee kudeal na promo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    hivi kati ya lowasa na lipumba ni nani mwenye uchu wa madaraka? acha kuwa na fikra za kizombie
  15. T

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya Chris Brown kuhusu Ebola yakera watu

    mmh, afadhali nikae kimya
Back
Top Bottom