Mtoto wa miaka 11 ajifungua huko Paraguay

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
150813214449_paraguay_child_rape_512x288_bbc_nocredit.jpg

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike baada ya mamlaka nchini humo kumzuia asitoe ujauzito aliokua nao.

Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa njia ya upasuaji wanaendelea vizuri.

Tukio hilo limesababisha utata mkubwa nchini Paraguay na katika mitandao ya kijamii, Paraguay ni taifa linaloamini zaidi katika Ukatoliki ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake inapokuwa hatarini.

Binti huyo alibakwa alipokua na umri wa miaka kumi pekee na Baba yake wa kambo mwenye miaka arobaini na miwili yupo rumande akisubiria kutajwa kwa kesi yake wakati huo huo baba huyo amekanusha kuhusika katika tukio hilo.

Source:BBC
 
Du! Miaka kumi na moja? Ila sishangai wenzetu miaka kumi unakuta" libint "hilo ila nashangaa baba kumbaka Mtoto wake wa kufikia.
 
Mabinti wadogo wanafanyiwa ukatili wa kijinsia ikiwemo kubakwa sio tu wababa wa kambo ila hata wajomba, baba wadogo, mashemeji n.k hasa wanapokuwa wakiishi wakiwategemea.

Hii hata wanaume wa Tz wengi mnawakatili watoto tu kwakua hamjawazaa.
 
Hajaivunja rekodi ya mtoto wa miaka TISA aliyejifungua. Hii ilikuwa ni huko Nairobi Kenya mwala 1984.
 
150813214449_paraguay_child_rape_512x288_bbc_nocredit.jpg

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike baada ya mamlaka nchini humo kumzuia asitoe ujauzito aliokua nao.

Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa njia ya upasuaji wanaendelea vizuri.

Tukio hilo limesababisha utata mkubwa nchini Paraguay na katika mitandao ya kijamii, Paraguay ni taifa linaloamini zaidi katika Ukatoliki ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake inapokuwa hatarini.

Binti huyo alibakwa alipokua na umri wa miaka kumi pekee na Baba yake wa kambo mwenye miaka arobaini na miwili yupo rumande akisubiria kutajwa kwa kesi yake wakati huo huo baba huyo amekanusha kuhusika katika tukio hilo.

Source:BBC

Duh! hatari xana,
 
Mimi mwenyewe naish na binti wa miaka 9 nimemzalisha, namficha ndani unashangaa huyo wa eleven years!
 
Du! Miaka kumi na moja? Ila sishangai wenzetu miaka kumi unakuta" libint "hilo ila nashangaa baba kumbaka Mtoto wake wa kufikia.

hata kama ana mwili mkubwa lakini ukweli utabaki pale pale kuwa yeye ni mtoto tu

mi ninachoiomba serikali yake imfunge kifungo cha maisha huyo baba yake wakufikia maana ni sawa muuaji tu
hafai kuwepo uraiyani kabisa
 
Back
Top Bottom