Wapendwa Mimi nifundi natafuta kazi ya kutengeneza madirisha ya aluminum, shelfu, kabati,na milango nifundi mzuri na mzoefu, na uelewa wakutosha, Lakini sinavifaa hususani machine ya kukatia chuma ila vitu vyote ninavyo naomba kwa yeyote mwenye kazi asinisahau namba yangu ni 0745866224 ,0629985887