Recent content by tourist2020

  1. T

    Morogoro: Watu wasiojulikana wavamia ofisi ya CHADEMA na kuondoka na msaidizi wa ofisi, haijulikani alikopelekwa

    Una ushaidi gani kuwa chadema wanatekana wao kwa wao au mawazo yako mgando na uwezo wako mdogo wa kufikiri ndio umeishia hapo???
  2. T

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Wewe iyo list umeiona au unafurahisha tu mdomowako.!!!
  3. T

    Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Hapa hatuzungumzii siasa tunazungumzia unga ambao unaharibu wadogo zetu dada zetu, kaka zetu na jamii yetu kwa ujumla, Inawezekana sio kosa lako maana pengine uwezo wako wa kufikiria ndio umeisha hapo.
  4. T

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mvuvi lazima ajue kuogelea
  5. T

    Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Inaonekana wewe ndio hujui unacho kifanya maana inaonekana hata sheria bado hauijui, you better ask.:(:(:(
  6. T

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo yanapozidi hata afya nayo huanza kudhoofika.
  7. T

    Fao la kujitoa: Wanaofanya kazi kwa mikataba nao watalipwa wakifikisha miaka 55?

    Hivi karibuni kumekuwepo na katazo la kuzuia wafanya kazi walioachishwa kazi kuchukua pesa zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa kigezo cha umri kuwa lazima awe amefikisha umri wa miaka 55. Lazima wajue kuwa kuna watu ambao huwa wanafanya kazi za mkataba mfu pengine mwaka mmoja au miwili...
  8. T

    Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Acheni ushabiki usio na maana, mnashabikia wasanii mkifikiri wao ni malaika hawawezi fanya makosa, hamjui kuwa wengine huwa wanatumia kivuli cha umaarufu kufanya mambo maovu. kama kweli mna huruma mbona hamna hata mmoja anaye zungumzia askari walio tajwa kujiusisha na ngada mmebaki kuzungumzia...
  9. T

    Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Nani amfunge paka kengele, ilo ndio swali la kujiuliza.;);)
  10. T

    Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Unauhakika gani kama hajafanya uchunguzi, You seem to be so sure as if you know everything!!!!!
  11. T

    Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Unaushaidi gani kuwa serikali inaogopa kusimama kizimbani au ni hisia zako tu ????
  12. T

    Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Nivizuri tukaiacha jeshi la polisi lifanye kazi yake, Naamini mpaka makondo kuamua kuyaanika hayo majina hadharani basi ujue atakua na ushahidi wa kutosha. Tuwe wavumilivu kidogo kabla ya kutoa lawama.
  13. T

    MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

    Mbona sijasikia hata kigogo mmoja aliye tajwa ???????????
Back
Top Bottom