Wakuu mnisaidie Walimu wa physics, chemistry na maths hapo mchikichini nijue gharama zao nataka kujiandaa kwa Bajeti mana nawaona wote humu ni wakongwe mnaweza kuwa gharama za zamani kama yupo ajuae kwa sasa msada wake nauhitaji
Wakubwa zangu shikamoni wote! hivi hawa walimu bado wapo kweli na Bei ni shilingi kwa mwezi mie mdogo wenu Nipo fom 2 hapa tabora boys nataka fata nyayo zenu msada tafadhali
Jeshi LA polisi linajukumu ya kulinda usalama wa RAIA na Mali zake halikadhalika kusimamia utekelezaji wa sheria hivyo chochote askari polisi akiona kinaingia hapo lazima akukamate na sio lazima awe askari hata RAIA wa kawaida analo hilo jukumu tuwe RAIA wema kujilinda na kulinda Mali zetu na...
Kabila ni kukua kwa koo na koo ni kukua kwa familia! Hivyo upate kabila lako oa mwanamke haki kisha unapata watoto wa kutosha! Wasiende kuoa pengine bali Wenyewe kwa Wenyewe kisha wajukuu wako haki kisha wanakuwa na majina mitalenamidimu wajukuu nao haki kisha wanaoana Wenyewe kwa Wenyewe baada...
Ha ha ha ha! Kabila huja baada ya kukua kwa koo na huanzishwa na familia ya baba na mama! Ili utengeneze kabila lako unatakiwa uoe mwanamke mzae watoto wa kutosha tu kisha watoto wako waoleane wajukuu zako watumie jina lako ww babu na wajukuu waoane wao kwa wao mkisha kuwa wengi na mnakaa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.