kasome kitabu cha mwanzo mkuu jibu utalipata kwamba wana wa Mungu walianza kuwatamani wana za binadamu ndipo Mungu aksema haiwez kusindana na mwanadamu kamwe kwa maana yy nd alimuhumba ndipo Mungu akupunguza siku za kuishi kwa mwanadamu..
umezungumza kisomi mkuuu hatare inaonekana kemia imekuaa mkuuu tena unaipiga kisawasawa mana yote hayo unayzungumza yanatokana na exstraction ov metals jinsi inavytueleza namna ya kuchima madini....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..mkuu ww nd ujatumia akili ss hayo maji ndo watayalalia au vp.....soma thread vzr usikurupuke acha umwendokasi na uspanic mkuu huu mchez hauitaji hasira......[emoji57]
wakuuu tuweke maarifa kwanza mbele kila mtu avumilie kwa anayeona anafanya mema afurah kwa anayeona ana fanya vibaya nafsini mwake avumilie 2020 cio mbali utafanya maaamuz yako sahihi hakuna jamb gumu km kuibadl nafsi ya mtu km imesapend kitu so tuvumilie mwsh kila mtu atakuwa amesapata jibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.