Recent content by TOTS SHALO

  1. TOTS SHALO

    Wizi wa aina mpya ukiwa Kariakoo

    Pole sana wamekukumbusha wakati mwingine utakua makini
  2. TOTS SHALO

    Msaada jamani

    Nashukulu wana jf aisee ngoja nikimbie nisije ibiwa...
  3. TOTS SHALO

    Msaada jamani

    Naomba kuuliza flat screen aina ya bish kwamwenye uzoefu inaubora kiasi gani...
  4. TOTS SHALO

    Natafuta mume njoo tuyajenge

    Aya jamani wenye sifa chukueni frusa.....
  5. TOTS SHALO

    Kuchepuka raha

    Dah pole sana dadaangu ila maamuzi uliyochukua siyo sahihi kwani kumbuka kiapo wakati wandoa na isitoshe mungu alisema hakuna lishindikanalo kwake mludiye mungu napiya tubu kwaulichokifanya naamini mungu atakusaidiya mmeo atabadilika ....
  6. TOTS SHALO

    Naombeni msaada.

    Nimewahi kusikia kwamba unaweza kuweka chanel za bule ndani yakinyhamuzi kwakuweka flee kwens za chaneli kusika vp inawezekana nakama inawezekana unatumia hatua zipi kuziingiza chanel.
  7. TOTS SHALO

    Ushauri : Ujauzito wa my wife unanipelekea nitake kuchepuka

    kweli kuish kwing kuona meng (nice stor)
  8. TOTS SHALO

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Kaz kwenu wahitimu wengne tushajiajili muda xana.
  9. TOTS SHALO

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Thex wakuu kwaku2patia somo zuri huu ndo utam wajf.
  10. TOTS SHALO

    Msaada waungwana ni muda gani kitaalamu mzazi anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa

    Ni muda gani mzazi anashauliwa kuanza kushiliki tendo landoa baada yakjifungua kwajia yakawaida.
  11. TOTS SHALO

    Niwakati gani naweza kupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzuko wa mwenza wangu

    thex mkuu nimekuxoma pamoja xana nitarifanyia kazi after work nitatoa majibu hapahap.
  12. TOTS SHALO

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    hiyo ndio nilokua naihitaji aksante xana kaka.
  13. TOTS SHALO

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Kumbe jf ndo kuzuli hiv. Nimepata ki2 leo.
  14. TOTS SHALO

    Niwakati gani naweza kupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzuko wa mwenza wangu

    Naomben kuelekezwa jins yakupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzunguko wamama. Anaejua naombeni msaada please.
  15. TOTS SHALO

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Nimekusoma mkubwa japo thread niliyokua naitafuta cyo hiyo niliwah kuiona thread ikionyesha kwakutumia mifano kulinga namzunguko watarehe. Anayeijua naomba aniwekee hiyo thread.
Back
Top Bottom