Neno la Mungu linasema usiogope,sasa kwanini Gwajima aogope?
Ndio maana sasa akasema siogopi,bunge,mahakama,wala chochote
Pia Gwajima ni mtu wa namna yake,sii kama watu wengine kabisa,kwanini nasema ivi?
Kwa hili jambo ambavyo lilikuwa laiti kama angekuwa mtu mwingine angekuwa amruliwa na...