Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,350
- 26,166
Wakuu don-oba Mag3 mcubic adolay na Bigirita naomba mnielewe nilichomaanisha. Mimi nimeongelea kujitangaza kama jambo linalokatazwa katika miiko ya uwakili Tanzania. Kama wanasheria,tunapaswa kufuata sheria kama zilivyo hadi zitakapobadilishwa.
Wakili Msomi Peter Kibatala amekuwa akizungumzia mambo mbalimbali ya kisheria katika namna ya kujitangaza ambapo ndipo kunakokatazwa hadi sasa. Najua zipo nchi ambazo huruhusu Mawakili kujitangaza.
Ni wajibu wetu kupambana kubadili katazo la kukataza kujitangaza. Kwasasa,tunapaswa kufuata na kuheshimu sheria na miiko kama zilivyo

Last edited by a moderator: