Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

Joined
Jul 8, 2015
Posts
43
Reaction score
13
At sm time

Kikwete: Nchi yetu imepata mafanikio sana katika uongozi wangu mpaka tumefika hapa.

Magufuli : Mafisadi wameharibu nchi yetu na kudumaza maendeleo mpaka tumefika hapa nitawashughulikia.
 
Mmoja ni CCM mwili, roho na mawazo, mwingine ni CCM mwili ila roho na mawazo ni UKAWA.
 
woote magufuli na jk ni wasanii......wanadhani sisi wa mwaka 1947!.Tena huyu magufuli ni ya kheri kikwete....yaani huyu baba ni muongo sana.
 
At sm time

Nchi yetu imepata mafanikio sana katika uongozi wangu mpaka tumefika hapa JK.

Mafisadi wameharibu nchi yetu na kudumaza maendeleo mpaka tumefika hapa nitawashughulikia.

Hata mimi niliisikia nilicheka sana manake kwa ufinyu wa fikra za watanzania tulio wengi jamaa wanatuchezea figisu figisu vibaya mno.
 
Magufuli akiingia magogoni hakika anafunga mafisadi…!! Ata kikwete mwenyewe jipange huyo ata cheka na mtu
 
Kama siyo wanamziki mbona hawa jamaa wasinge sahau wao na wajukuu wao ambao hawajazaliwa watu wanaokwenda kwenye mikutano yao wangecheka adi wafunjike mbavu maana wanachekesha sana endepo utawasikiliza na kuwaelewa!
 
At sm time

Nchi yetu imepata mafanikio sana katika uongozi wangu mpaka tumefika hapa JK.

Mafisadi wameharibu nchi yetu na kudumaza maendeleo mpaka tumefika hapa nitawashughulikia.

''KILA KITABU NA ZAMA ZAKE'' By mwinyi
 
At sm time

Nchi yetu imepata mafanikio sana katika uongozi wangu mpaka tumefika hapa JK.

Mafisadi wameharibu nchi yetu na kudumaza maendeleo mpaka tumefika hapa nitawashughulikia.

ni wazi mmoja anasema ukweli na mwingine anasema uongo, swali: ni nani kati yao ansema uongo
 
Wakihutubia kwenye kampeni za CCM Morogoro mjini rais Kikwete alisikika akisema,

"Watanzania nimewatoa mbali sana hadi kufikia hapa mlipo, siyo kazi rahisi".

Baada ya JK kumaliza ikafika zamu ya mgombea urais mh. Magufuli, akasema,

"Ndugu zangu watanzania mafisadi na majizi ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo".

Dah! kaazi kweli kweli.
 
Hakuna jinsi ambavyo magufuli atafanya kampeni bila kuisema ccm,hata kama akisema nitafanya kitu flani ambacho hakipo sasa ni dhahiri kuwa walioshindwa kukifanya ni ccm
 
Magufuli amikuwa kiisema vibaya ccm bila yy mwenyewe kujua.Ni aibu kwa kikwete na uozo wake
 
Back
Top Bottom