Recent content by Totobayazurikwamamayake

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Nani amesema siyo Padre? Soma tena nilichoandika
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Taarifa zinasema huyo mtajwa ni Padre aliyesimamishwa kufanya huduma kutokana na tatizo la uraibu wa pombe.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

    😂😂😂😂😂Eti Ishiiii.Umewapatia sana.Hapi bado hajapiga mdomo " mmba"
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

    Miaka ya tisini kulikuwa na vichaa maarufu walijulikana mji mzima.Alikuwepo Malingumu,Madebe bila kumsahau Mwajuma ringa.Hili la vichaa ni kweli mkuu tangu enzi hizo japo sababu sijui.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Miezi michache ilopita wakati akiapisha mawaziri alisema wasiwaze kuhusu uchaguzi ujao wachape kazi but yeye amekuwa wa kwanza kuuwaza,tena kwa kishindo.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, Magufuli amemfunika Nyerere kwa waombolezaji kwa sababu ya mtandao au ni kweli?

    Nyerere hakuzungushwa mikoa kadhaa.Watu walilia machozi hayakuonwa na Instagram et al.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

    Hata aliyewahi kutangaza mtoto wa Mbowe ana Corona ni Mmwanza kama si Mmbeya
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani niisahau pombe?

    Isubiri istaafu utaisahau tu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa asema: Bila kusimamia misingi (principles) vyama vinakosa uhalali wa kuwepo

    Hapana nitamleta mchungaji amfifilo mtafuna kondo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

    Umenikumbusha gazeti moja lilikuwa likimuongelea mchezaji aliyeitwa Mbo Mpenza aliyesajiliwa na timu ambayo iliyokuwa na maskani yake hapo Kumamoto.Heading yake ilikuwa hivi "Mbo ndani ya Kumamoto.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    Kumbe private hakuna walimu wa sekondari ee?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    Private hakuna walimu was sekondari,wapo was primary eti ee?
Back
Top Bottom