shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Heshima kwenu wanajamvi natumai mu wazima wa afya huku tunaendelea kusoma vipeo na vipeuo vya hapa na pale but still life goes on,.
Poleni kwanza na majukumu ya kutuondolea ujinga kwa watoto wetu huko mashuleni tunajua ni kazi ngumu tumewaachia japo serikali ndo hivo tena imawajali kishingo upande ila tunazidi kumwomba mungu awajalie wepesi katika majukumu yenu yakiwemo ya kinidjamu kwa vujana wetu..
Naandika Uzi huu mahususi kwa walimu wa kuu shule za serikali maana huko ndiko waliko lundikana watoto wa wavuja jasho na si wa wenye macho.
Mimi ni mfanya biashara ninayefanya biashara zangu babati na arusha,napenda kushare story za hapa na pale na mtu amabaye amekaa karibu na Mimi kwa bahati siku ya Juma tatu nikiwa bado namsubiri jamaa aje kunichukua kwa bodaboda pale babati mjini mara akaja mwanafunzi wa kike amevaa dark blue sketi na t shirt ya dam ya Mzee akaniomba simu awasiliane na mzazi wake sikutaka kujua wanaongea nini ila alikuwa kutoka kanda ya ziwa nahisi maana aliaongea kiluga.alivomaliza ilibidi nimuulize kulikoni yupo nje mda ule wa masomo akanijibu amerudishwa nyumbani akalete mzazi kisa amechelewa kuripoti, hana ndugu maeneo Yale wala magari mda ule ya kwenda huko kanda ya ziwa hayakwepo, nilimwonea huruma kwakweli nilicho msaidia ni kumlipia hela ya guest ili angalau apate kujihifadhi kwa siku ile moja ili kesho yake arudi kwao..lakini swali nilijuiliza hivi nyie wa kuu wa shule hamjui watoto mnaowafundisha ni watoto wa maskini wa hali ya chini ambao hata kumudu hiyo elfu sabini kwa mwaka inakuwa ni shida.,mtoto anadai hana uhakika wa kurudi shule maana hata hiyo nauli na poketi money ni msamaria tu alijitolea kumpa tena mnamrudisha kwa kuchelewa tena siku moja ianuma kwa kweli sijui mzazi wake yupo na hali gani japo si peke yake ambaye kachelewa,,.hivi hakuna adhabu mbadala mpaka mtoto anarudishwa nyumbani mbona sisi tulikuwa tunachimba visiki na kufyatua matofali mambo yanaisha ushauri wangu busara tu itumike kuamua mambo mengine japo sina maana kwamba hamna busara,.maana binti kama yule akiangukia mikononi kwa watu wabaya mida ile ya jioni lolote linaweza kumtokea afu future yake ikawa imeharibika...ni hayo tu