Recent content by Toto Zembe

  1. Toto Zembe

    Uamuzi wa kesi ya Tundu Lissu ni kipimo sahihi cha Uhuru wa mahakama zetu

    Ngoja chuma kiingie online,mbona watatafuta mchawi nani,kwa Tundu hii kesi ndogo sana,maana akuna wakili wa selikali ambaye anamsumbua lisu akili,2020 tutaona mengi ngoja tuskilizie mziki wa mwamba.
  2. Toto Zembe

    Ujio wa 5g: je tanzania imejiandaaje kukabiliana na changamoto na fursa zake.

    4G yenyewe tumeshindwa kuendana nayo,sembuse 5G,maendeleo ya technolog yanawenyewe sisi tutaishia kusondikiza tu,makampuni yenyewe yako bizy na kubland joti[emoji38][emoji38][emoji38]
  3. Toto Zembe

    Umuhimu wa kukaa ghetto

    Nakumbuka kipindi naanza maisha ya magetoni nilinunua tv kabla ya godolo,niliomba ruhusa kazini alafu nikaazima CD 15 nilikuwa nakesha hadi asbuhi naangalia Tv,ila swala la usafi kwangu ilikuwa mtihani.
  4. Toto Zembe

    Umuhimu wa kukaa ghetto

    Gheto linahitaji hekima ktk swala la umeme maana unaweza toana meno na wapangaji wenzako au mama mwenye gheto.
  5. Toto Zembe

    Alichokifanya mzungu wa Airbus hakiwezekani kufanywa na mbongo

    Mkulu sio mzululaji[emoji38][emoji38][emoji38]
  6. Toto Zembe

    Utaratibu wa kupima Ukimwi bongo una maswali mengi kuliko majibu: Kuna haja ya kuboresha

    Unaulizwa na dr.kuwa mara ya mwisho kudate ni lini?
  7. Toto Zembe

    Tanzania na Jamaica

    Kuna watu wanafrahia fursa hiyo,kwa kwenda kukata stim jamaica,ngoja waje kutoa hisia za fraha zao.
  8. Toto Zembe

    Nashauri salamu ya "Shikamoo" ifutwe

    "Nipo chini ya miguu yako" nido maana halisi ya (shkamoo).
  9. Toto Zembe

    A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

    Dahh kuipigia kila mcc nayo ni dhambi? Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom