Uamuzi wa kesi ya Tundu Lissu ni kipimo sahihi cha Uhuru wa mahakama zetu

magagagigikoko

Senior Member
Nov 13, 2017
166
167
Nasikiliza BBC Dira ya dunia jioni hii, binafsi nasikitika nikijiuliza ni watu wangapi wanatusikiliza ktk upuuzi huu.
Sina tatizo na uamuzi utakaotolewa, ninahitaji kusikia reasoning ya mahakama itakayosababisha watanzania waone kuwa haki imetendeka. Mpk sasa wengi wanaona kuna mtu amejifanya kuwa yeye ndiye katiba ya nchi, Sheria na mahakama.
 
Kitendo cha kumuweka probation period CJ, tayari alisha compromise judiciary! sitegemei la maana kutoka huko
 
Ngoja chuma kiingie online,mbona watatafuta mchawi nani,kwa Tundu hii kesi ndogo sana,maana akuna wakili wa selikali ambaye anamsumbua lisu akili,2020 tutaona mengi ngoja tuskilizie mziki wa mwamba.
 
Acha mahaba ya uke wenza

Kesi ni kesi na kila kesi ina pande mbili kushinda ama kushindwa hakuna droo kwenye kesi

Tatizo lako wewe ulienda na gia ya kuamini wewe ni mshindi wa muda wote

Naona umelalama sana kwa sauti ta kike ila hujaelezea ni wapi kisheria mahakama haijatenda haki?

Ni wapi huyo uliyemuita "mtu mmoja" (rais) anaingilia uhuru wa mahakama?

Acha umbea utaolewa!!
 
Wewe unaamini ndugai hajui aliko Lissu?? Hili swali hata jaji kawauliza mawakili vilaza wakawa wanatoa mimacho tuu...
Acha mahaba ya uke wenza

Kesi ni kesi na kila kesi ina pande mbili kushinda ama kushindwa hakuna droo kwenye kesi

Tatizo lako wewe ulienda na gia ya kuamini wewe ni mshindi wa muda wote

Naona umelalama sana kwa sauti ta kike ila hujaelezea ni wapi kisheria mahakama haijatenda haki?

Ni wapi huyo uliyemuita "mtu mmoja" (rais) anaingilia uhuru wa mahakama?

Acha umbea utaolewa!!
 
Ngoja aje..
Wanasema eti kageuzwa roboti... ...
Ila kwa bwana yulee... bora tu angeliishi huko huko!
 
Nasikiliza BBC Dira ya dunia jioni hii, binafsi nasikitika nikijiuliza ni watu wangapi wanatusikiliza ktk upuuzi huu.
Sina tatizo na uamuzi utakaotolewa, ninahitaji kusikia reasoning ya mahakama itakayosababisha watanzania waone kuwa haki imetendeka. Mpk sasa wengi wanaona kuna mtu amejifanya kuwa yeye ndiye katiba ya nchi, Sheria na mahakama.
Sheria haiwagi hivyo mkuu. Sheria siyo lazima itende unavyotaka wewe.

Kesi ikiwa bado mahakamani haitakiwi kujadiliwa, ku like ama ku comment.

Kwa hiyo wewe ulitakaje labda? Maana unasema umesikitishwa na upuuzi.

Reasoning ipi hiyo ya mahakama unayoitaka wewe, badala ya kureason kwanza wewe na kutupa dondoo za kisheria unazoona zimekiukwa?

Sheria hazifuati upepo kama bendera.
Halafu ujue lolote linaweza kutokea mbele ya safari, kwenye kesi hii, ikienda kama unavyotaka wewe, sa'sijui napo utasimama na kuanza kusifia, au utaendelea kuponda ivoivo?
 
KWA kuwa kesi ilishasajiliwa Mahakamani,
KWA kuwa kesi yenyewe tayari imeanza kusikilizwa na kutolewa uamuzi mdogo wa kuendelea na kesi hiyo dhidi ya mapingamizi yaliyowasilishwa, na,
KWA kuwa ombi mojawapo LA kesi yenyewe ni kusimamishwa KWA muda zoezi LA kiapo KWA mbunge mteule,

HIVYO BASI,
Kwa kutumia busara na KWA kuzingatia misingi ya haki za asili (haki ya kusikilizwa kabla ya hukumu), Mahakama ilipaswa kusimamisha kwanza zoezi zima la kumuapisha mbunge mteule hadi hapo shauri LA msingi lililopo Mahakamani litakapoamuliwa. Mahakama ilitakiwa kutoa zuio la muda la kumuapisha mbunge mteule kwanza.Kama Mdai/mshitaki akishindwa kesi basi mbunge mteule ataapishwa, wala hakuna tatizo.
 
NI UJINGA ULIOTUKUKA KUZIAMINI/ ......
../ZETU KATIKA ZAMA HIZI ZA MKONO WA CHUMA,ZIGZAG SEASONS....:p :p :p
n.b:-YAPO MAMBO AMBAYO YAPO WAZI KABISA,LAKINI HUWEZI KUYAFUATILIA KAWA HALI YOYOTE ILE ETI UKAOPATA HAKI YAKO NEVER AND NEVER WASTE TIME,MFANO ETI LISSU AJE KUSHINDA KESI NEVER ALTHOUGH EVERY THINGS ARE OPENLY.AU UPIGANIE HAKI YA KATIBA HURU YA UMOJA WA KITAIFA NEVER HUWEZI SHINDA NA MENGINE MENGI YA AINA HIYO...
 
KWA kuwa kesi ilishasajiliwa Mahakamani,
KWA kuwa kesi yenyewe tayari imeanza kusikilizwa na kutolewa uamuzi mdogo wa kuendelea na kesi hiyo dhidi ya mapingamizi yaliyowasilishwa, na,
KWA kuwa ombi mojawapo LA kesi yenyewe ni kusimamishwa KWA muda zoezi LA kiapo KWA mbunge mteule,

HIVYO BASI,
Kwa kutumia busara na KWA kuzingatia misingi ya haki za asili (haki ya kusikilizwa kabla ya hukumu), Mahakama ilipaswa kusimamisha kwanza zoezi zima la kumuapisha mbunge mteule hadi hapo shauri LA msingi lililopo Mahakamani litakapoamuliwa. Mahakama ilitakiwa kutoa zuio la muda la kumuapisha mbunge mteule kwanza.Kama Mdai/mshitaki akishindwa kesi basi mbunge mteule ataapishwa, wala hakuna tatizo.
Mbona Tundu mwenyewe, Bbc nimemsikia akisema kuwa, kuapishwa kwa Mtaturu, hakuzuii kuendelea na kesi ya msingi ama hakuzuii haki kutendeka.

Na akatolea mfano wa kesi zingine za matokeo ya uchaguzi, jinsi zinavyoendeshwa huku watuhumiwa wakiendelea kula viapo na kukalia viti hadi hukumu itakapotolewa.

Hata mahakama ndivyo ilivyosema.
Sasa sisi ma layman kwanini haturidhiki na maamuzi ya mahakama, pa1 na maoni ya mlalamikaji?
 
Tatizo ni katiba, katiba mbovu inaleta taasisi mbovu, kimfumo, kiuteuzi etc
Katiba iliyopo unaifahamu?
Umewahi hata kuisoma kiasi?
Unaweza jisemesha tatizo katiba hapa kumbe hata hujui kipengele gani ndani ya katiba ni tatizo au katiba yote ni mbovu.
Wabongo buana ....
 
Katiba naifahamu sana
Sura zote kumi, ibara zote 152 na kiambatisho kimoja .
Nimeandika nikiwa naelewa fika naandika mini sikukurupuka
 
Baada ya kuisoma katiba yote ukaona kila sura na kipengele katika katiba hakifai kabisa?
 
Back
Top Bottom